Mwamuzi aliyechezesha mechi ya Yanga na Ruvu leo kama hajapewa hongo basi mechi ilimshinda

Tuanze kwenye red card je kwanini unasema kimakosa? Unatakiwa wewe uanze kutoa ufafanuzi kwanini useme kumakosa
Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
 
Wapi nimeonesha ushabiki? Kisa kukuomba ufafanuzi ndio unatafsiri ushabiki. Kwanini useme kadi ya njano ilihali ndiye mtu wa mwisho?
 
Hebu na wew toa ufafanuz kwenye penart ndo na mim niendelee
 
Wapi nimeonesha ushabiki? Kisa kukuomba ufafanuzi ndio unatafsiri ushabiki. Kwanini useme kadi ya njano ilihali ndiye mtu wa mwisho?
Maelezo ya kweny penart ndo ntakujua kuwa upo upande gan
 
Katoa red cad kimakosa harafu pia katoa penart kimakosa
Watalam wa soka karibun kwa maon yenu,ushabik tuuweke pemben
Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi
 
Sasa we ulitaka refa afanyeje? ungemlipia madeni yake?

Sema hapa CAF imulike tochi yake TFF kwasababu wao ndio wanafuga ubovu kwa kuwapanga marefa ambao wamekata ringi wachezeshe mechi
Teh teh teh kweli Dunia duara,leo hii Mashabiki wa Mikia mnaiomba CAF imulike TFF kwa matokeo na mpira keki wa Yanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katoa red cad kimakosa harafu pia katoa penart kimakosa
Watalam wa soka karibun kwa maon yenu,ushabik tuuweke pemben
Kila timu itakayocheza na Yanga msimu huu lazima iseme imeonewa mana Yanga inakulazimisha kufanya makosa, ni kama Barca ya Pep ilikuwa inaonekana inabebwa kila mechi kumbe kiwango kilikuwa kikubwa mno. Pasi 20 wapinzani hawajagusa mpira si mchezo mzee, nasema hakuna timu hapa East Africa imewahi kupiga mpira kama Yanga ya sasa nasisitiza HAKUNA.
 
Soma sheria namba Tisa,hap ilitakiwa kad ya njano,kwenye penart alieshka mpra ni Mayele mchezaj wa Yanga,,, acha ushabk ndugu yangu,tunataka kukuza soka letu lijulikane kimataifa tukiruhusu huu uhun hatutafanikiwa kamwe
Hizo Sheria zitskua za kwenu bunju,refa alikua karibu kaona Nani kashika
 
Tuanze kwenye red card je kwanini unasema kimakosa? Unatakiwa wewe uanze kutoa ufafanuzi kwanini useme kumakosa
Red card imetolewa kwa sheria kwamba mchezaji wa mwisho ukimkata ni straight red, penalty jamaa alishika au labda kama sheria mpya zinaruhusu beki kushika, c unajua Corona imeathiri ufanisi wa miguu.
 
Wapi nimeonesha ushabiki? Kisa kukuomba ufafanuzi ndio unatafsiri ushabiki. Kwanini useme kadi ya njano ilihali ndiye mtu wa mwisho?
Maelezo ya kweny penart ndo ntakujua kuwa upo upande gan
Wewe ni mpumbavu, Kama ujui sheria za mpira usiwe unapuyanga utafikili umekatika kichwa, yule mchezaji aliyemchezea rafu mayele ndo alikuwa wa mwisho ivyo alimzuia mayele kufunga goli kwa maana iyo ilikuwa penalt halali isiyokuwa na chembe ya ukakasi
Acha ushenz,kamtukane mama yako,sjaanzisha Uzi ili tutukanane,haraf sjakaribisha mvuta bang Kama wew
 
Back
Top Bottom