Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

kama ingekuwa sio offside ina maana utopolo angepewa KONA apige.ila kwa kuwa ni off side.refa akampa kipa apige yeye.mnafeli wapi?
Kwa nini ile offside 🐸🐸hawaizungumzii?

Ukiangalia vizuri video inaonesha wazi kuwa Aziz ki alikuwa ameotea.

Mwakarobo juniors watulie tu wametolewa kihalali kabisa
 
Mm nachukulia mpira kama burudani na ndio maana nikifungwa nakubaliana na matokeo.
Tofauti na nyinyi utopolo mnao uchukulia mpira kama utumwa na ndio maana ni siku ya 3 mnaendeleza mijadala ya kijinga.
Mjadala Huu ni mwaka mzima for your information. Yanga imewekeza mabilioni mambo si rahisi kama mnavyowaza makolo mliotolewa kihalali kwa kuzidiwa uwezo uwanjani sote tumeona mkipigwa na Al Ahly kama ngoma na sote tumeshuhudiwa Yanga ikionewa na hata refa mwenyewe anakiri kuna makosa yametokea we unabisha ndo maana tuliwapiga khamsa 5G akili hamna nyie mbumbumbu
 
Unahitaji Daktari wa akili, yani Aziz Ki video inaonesha kapokea Mpira yuko nyuma akaanza kupasua kijiji cha mabeki wa Mamelodi , we itakuwa umecheki mechi kwenye TV yako ya chogo maana hizo TV ndo zilionesha unavyosema!!

Offside watu wanayosema ni mchezaji wa Yanga aliekuwa mbele ambae Aziz Ki hakumuona ye aliliona goli tu na akamtungua kipa Williams, yule mchezaji wa Yanga wala hakupasiwa na wala Aziz Ki hakupiga krosi hivyo yule mchezaji anaedaiwa kusababisha offside hakuingilia mchezo, yaani pamoja na uto sisi kulalamika kuonewa pia mnatupa kazi ngumu ya kuwafundisha soka makolo mbumbumbu kabisa.

Alietolewa kihalali ni Simba ndo maana mko kimya na Africa nzima iko kimya, unataka kusema watu wote ni wajinga kusema Yanga kaonewa hadi wa south wenyewe? We mtu mmoja tu ndo umeona ni halali Yanga kuonewa!! Mbumbumbu ni mbumbumbu tu
Kwa nini ile offside 🐸🐸hawaizungumzii?

Ukiangalia vizuri video inaonesha wazi kuwa Aziz ki alikuwa ameotea.

Mwakarobo juniors watulie tu wametolewa kihalali kabisa
 
Wewe ulikuweoo uwanjani au na wewe uliangalia kwa chogo screen.

Punguza makasiriko mmeshakuwa Mwakarobo juniors kihalali kabisa.
 
Wewe ulikuweoo uwanjani au na wewe uliangalia kwa chogo screen.

Punguza makasiriko mmeshakuwa Mwakarobo juniors kihalali kabisa.
Tuachieni kesi yetu na CAF nyie tafuteni ushindi wa pili NBC premier league ndo saizi yenu
 
Tukishamaliza kulalamika. Mwanyeto sijui mwameto atolewe unahodha hafai. Nahodha anatakiwa kuwa ngangari na sio muoga muoga
 
Kumbe manara kizungu kinapanda. Kumbe ile div.one anayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa uto ni wapumbavu na wajingaa.
Wakwendree kulee, wamuache refa wa watu.
 
Ac
Acha umbumbumbu wako sasa kupeleka timu 4 madunduka kaibebaje yanga? Rage uje huku amepatikana mmoja 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mashabiki wa uto ni wapumbavu na wajingaa.
Wakwendree kulee, wamuache refa wa watu.
Ngoja nimpgie rage simu aje akuchukue, 😆
 
Watanzania ni wajinga

Wameonja mambo ya Goli la Mkono ambayo wanajidaia kunyanyasia Wanyonge kwenyw Sanduku la Kura.

Vipi Wana Yanga inauma sana??
 
Mambo ya NEC haya......Tanzania tuna vuna tunachopanda hadi Nje ya mipaka yanatukuta
 
Hahahaa.....pale aliposema You didn't go to Overlook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…