Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Hivi Watanzania wanajua implication ya Abusive Language mitandaoni?

Au wanaropoka tu.

Inaweza ku Backfire kwa Yanga mi nawashtua tu.
 
CC mjingamimi
 
Na bado SIO GOLI.ila wanataka wapewe.aibu gani hii kwa nchi.haya yote kayataka simba kuwabeba na kuwapeleka hyko
lini simba kambeba yanga
ama hufahamu kwenye robo hii ni simba pekee ndo hakuwa mshindi wa nchi yake wengine wote walikuwa mabingwa

una anzaje kumbeba bingwa
 
Kwa nini ile offside 🐸🐸hawaizungumzii?

Ukiangalia vizuri video inaonesha wazi kuwa Aziz ki alikuwa ameotea.

Mwakarobo juniors watulie tu wametolewa kihalali kabisa
Kheee..!!! We sasa ndo hujui kabisaaa..!! ule msitu wa wachezaji wa masandawana uliomzunguka Aziz Ki leo uje useme alikuwa offside..!! Kweli mahaba huleta upofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…