Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Maelezo marefu kumbe kumejaa mavi tu.
Hivi nyinyi tukiamua tuanze kufuata haki ya mechi zilizo pita hapa kwenye ligi kuu nyinyi utopolo si mtajikuta mna poteza point zaidi ya 10 mlizo zipata baada ya maamuzi mabovu ya refa?
Nyinyi subirini nyundo ya maana kutoka CAF kwa kutoa tuhuma bila ushahidi, ndo mtakoma kukurupuka.
 
Makolo ndio aibu kubwa mmekandwa na Al Ahly ndani nje, hata kujitetea goli moja mmeshindwa, sisi uto tumeshinda laivu na kupokwa ushindi na hiyo kuzusha mjadala mkubwa duniani, ukumbuke Aziz Ki si mtanzania hivyo hata watu wa Africa magharibi wamemaindi kunyimwa goli na hata wazungu pia wameingizwa kwenye mjadala wa ubovu wa CAF kama kocha Mourinho ambae juzikati alisifia matumizi ya VAR kwa soka la Africa, wamemtag kwa goli lililokataliwa wanamwambia kiko wapi!!
Utopolo wanatia AIBU TAIFA.
 
Bongo hakuna VAR wala goal technology hivyo hakuna kesi kwa refa kuamua anavyoona inafaa, huna akili kama ile aliyonayo mwanao!! Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako yaani we una akili kuliko taasisi nzima ya Yanga? Unafikiri wameandika tu bila kujadiliana nini kiandikwe, Kwani we umesoma sheria St kayumba ya rufiji au mvomero! Punguza ujuaji tuachie kesi yetu haikuhusu!!

Simba mmevurugwa na matokeo ya Yanga baada ya kuvunja rekodi zenu hamna cha kutambia tena.

Na bado, hii ni game ya wanaume, tulia kolo kafute vumbi mbao yenu ngao ya jamii , Yanga wamesema CAF waangalie uwezekano wa match fixing kutokana na viashiria vya haki kutoonekana ikitendeka na sio kuwa Yanga wametuhumu CAF direct acha kupotosha watu, kweli English ni janga la taifa!!

Sikujua kumbe unawaza kwa kutumia nanihii!
 
Yaqni watu wa duniani waache kujadili mambo ya msingi.wajadili goli la UTATA LA UTOPOLO?mna matatizo. Bosi wenu qlishqsema hamuendi popote. Sasa sijui mnacholiliq ni nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 2
Kwa nini kama halikuwa goli? Mbona basi akuamulu mpira upigwe kona wakati aliyeutoa nje kwa kichwa ni beki wa Mamelod?
Badala yake akawapa faida mamelod kuanza mpira.
Kuna maswali ya kujiuliza hapa.
 
Offside ingetokea iwapo tu Aziz Ki angepiga krosi na wala ye hakuona mchezaji wa Yanga , ye aliliona goli tu akashoot direct na kumtungua kipa Williams, kweli Aziz Ki world class player apewe maua yake!!

Mchezaji wa Yanga aliekuwa eneo la offside hakuungilia mchezo, hapa Othman Kazi atakusaidia kolo , hoja huna tulia
 
Naomba kqma ikiwa kweli ni yeye alikuwa anachati na manara, je anaweza kumshtaki kwa kuweka hadharani mazungumzo yao
Hakuna hiyo sheria, hakuna kesi, ukiingia online you are responsible kwa unachopost. Ukipost ujinga inakula kwako, tena ni yeye mwenyewe ameandika na anamtuma afikishe ujumbe sasa ujumbe utafikaje na mtamuaminije Bugatti kuwa katumwa kwenu bila kuweka hizo chat. Bongo akili tunazo ndogo sana hasa mbumbumbu
 
Kweli kabisa mkuu!
SHukrani sana pia Mimi ni shabiki wa Mpira licha ya kuwa Shabiki wa Simba kindaki ndaki ila nikitamani walau Yanga angeingiza Team maana naamini angechukua Kombe kama sio kwenda fainali kabisa..

Yanga wana kikosi kizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…