Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Tayari refa kafunguka na ametusaidia pakubwa sana pale anaposema there is always mistakes in football, hapo amekiri kuna makosa yalifanyika sasa tumepiga hatua moja kudai haki yetu ya mabilioni ya kuingia nusu fainali. Refa aseme ni mistake gani amemaanisha akabwe koo akizidiwa atamwaga mboga na tupambane VAR room officials tuwapate majina tuwafuate kwenye pages zao tukawacharue na wao hadi ukweli ujulikane na Africa nzima wajue bongo hatukubali kuonewa!!

Yanga sasa tukomae na mwamuzi kutafuta jina la officer alietoa maamuzi VAR room ni nani na mpaka anakataa goli ataje alitumia vigezo gani na atuambie kwa nini VAR room hawakuchora mstari kwenye mpira au kuonesha watazamaji sababu ya kukataa goli , Manara amrudie tena mwamuzi ataje jina la alietoa maamuzi VAR kesi ianze upya! Yaani hapa ndo kumekucha wanayanga hatutakiwi kukubali kurudishwa nyuma kisoka maisha ni vita na soka ni ajira na huleta utajiri na furaha, Yanga tukomae sasa na VAR room officials wa mechi hadi wafunguke, hii itasaidia kuhalalisha madai yetu ya match fixing pale na wao wakianza kujichanganya kama refa ambae hajasema ni goli au sio goli maana hata yeye hana jibu baada ya kuona ngoma imedundia ndani laivu na hakukuwa na sababu ya VAR kukataa goli!!

Nchi nyingi zinaonea wabongo this time tuwaoneshe our true colours kuwa hatuonewi na hatukimbii kesi. Tuwapuuze wanasimba wanaotubeza tunaposaka haki yetu hawa mbumbumbu mfupa wa robo fainali hawauwezi.

Dalili za ushindi ndio zimeanza kwa refa kufunguka sasa wanayanga tukomae na wengine VAR room nao wafunguke na kwakuwa wameanza kuweweseka tutaujua ukweli siku si nyingi. Refa atuambie vigezo VAR room walivyomwambia kuwa sio goli!!

Barua ya Yanga kwa CAF imesaidia sana mechi mbili za robo fainali zilizobaki jana niliziangalia na zilichezeshwa kwa haki na wenye msuli TP Mazembe na Waarabu kupita! Hongera sana uongozi wa Yanga, daima mbele, nyuma mwiko.

Ahsante Sana Bugatti
Maelezo marefu kumbe kumejaa mavi tu.
Hivi nyinyi tukiamua tuanze kufuata haki ya mechi zilizo pita hapa kwenye ligi kuu nyinyi utopolo si mtajikuta mna poteza point zaidi ya 10 mlizo zipata baada ya maamuzi mabovu ya refa?
Nyinyi subirini nyundo ya maana kutoka CAF kwa kutoa tuhuma bila ushahidi, ndo mtakoma kukurupuka.
 
Makolo ndio aibu kubwa mmekandwa na Al Ahly ndani nje, hata kujitetea goli moja mmeshindwa, sisi uto tumeshinda laivu na kupokwa ushindi na hiyo kuzusha mjadala mkubwa duniani, ukumbuke Aziz Ki si mtanzania hivyo hata watu wa Africa magharibi wamemaindi kunyimwa goli na hata wazungu pia wameingizwa kwenye mjadala wa ubovu wa CAF kama kocha Mourinho ambae juzikati alisifia matumizi ya VAR kwa soka la Africa, wamemtag kwa goli lililokataliwa wanamwambia kiko wapi!!
Utopolo wanatia AIBU TAIFA.
 
Maelezo marefu kumbe kumejaa mavi tu.
Hivi nyinyi tukiamua tuanze kufuata haki ya mechi zilizo pita hapa kwenye ligi kuu nyinyi utopolo si mtajikuta mna poteza point zaidi ya 10 mlizo zipata baada ya maamuzi mabovu ya refa?
Nyinyi subirini nyundo ya maana kutoka CAF kwa kutoa tuhuma bila ushahidi, ndo mtakoma kukurupuka.
Bongo hakuna VAR wala goal technology hivyo hakuna kesi kwa refa kuamua anavyoona inafaa, huna akili kama ile aliyonayo mwanao!! Wakati mwingine uwe unaficha ujinga wako yaani we una akili kuliko taasisi nzima ya Yanga? Unafikiri wameandika tu bila kujadiliana nini kiandikwe, Kwani we umesoma sheria St kayumba ya rufiji au mvomero! Punguza ujuaji tuachie kesi yetu haikuhusu!!

Simba mmevurugwa na matokeo ya Yanga baada ya kuvunja rekodi zenu hamna cha kutambia tena.

Na bado, hii ni game ya wanaume, tulia kolo kafute vumbi mbao yenu ngao ya jamii , Yanga wamesema CAF waangalie uwezekano wa match fixing kutokana na viashiria vya haki kutoonekana ikitendeka na sio kuwa Yanga wametuhumu CAF direct acha kupotosha watu, kweli English ni janga la taifa!!

Sikujua kumbe unawaza kwa kutumia nanihii!
 
Makolo ndio aibu kubwa mmekandwa na Al Ahly ndani nje, hata kujitetea goli moja mmeshindwa, sisi uto tumeshinda laivu na kupokwa ushindi na hiyo kuzusha mjadala mkubwa duniani, ukumbuke Aziz Ki si mtanzania hivyo hata watu wa Africa magharibi wamemaindi kunyimwa goli na hata wazungu pia wameingizwa kwenye mjadala wa ubovu wa CAF kama kocha Mourinho ambae juzikati alisifia matumizi ya VAR kwa soka la, wamemtag kwa goli lililokataliwa wanamwambia kiko wapi!!
Yaqni watu wa duniani waache kujadili mambo ya msingi.wajadili goli la UTATA LA UTOPOLO?mna matatizo. Bosi wenu qlishqsema hamuendi popote. Sasa sijui mnacholiliq ni nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 2
Kwa nini kama halikuwa goli? Mbona basi akuamulu mpira upigwe kona wakati aliyeutoa nje kwa kichwa ni beki wa Mamelod?
Badala yake akawapa faida mamelod kuanza mpira.
Kuna maswali ya kujiuliza hapa.
 
Offside ingetokea iwapo tu Aziz Ki angepiga krosi na wala ye hakuona mchezaji wa Yanga , ye aliliona goli tu akashoot direct na kumtungua kipa Williams, kweli Aziz Ki world class player apewe maua yake!!

Mchezaji wa Yanga aliekuwa eneo la offside hakuungilia mchezo, hapa Othman Kazi atakusaidia kolo , hoja huna tulia
 
Naomba kqma ikiwa kweli ni yeye alikuwa anachati na manara, je anaweza kumshtaki kwa kuweka hadharani mazungumzo yao
Hakuna hiyo sheria, hakuna kesi, ukiingia online you are responsible kwa unachopost. Ukipost ujinga inakula kwako, tena ni yeye mwenyewe ameandika na anamtuma afikishe ujumbe sasa ujumbe utafikaje na mtamuaminije Bugatti kuwa katumwa kwenu bila kuweka hizo chat. Bongo akili tunazo ndogo sana hasa mbumbumbu
 
Goli lilifungwa dakika ya 57, maamuzi kaja kuyafanya dakika ya 62. Muda wote huo wa dakika 5 mpira ulikuwa umesimama. Je, hakuona sababu ya yeye mwamuzi wa kati kwenda kuangalia mwenyewe kwenye VAR wakati ilikuwepo just pale pembeni ya Uwanja? Yaani dakika 5 zinazopelekea mpira kusimama rega hauni ulazima, udadisi wala umuhimu wa kushuhudia tukio hilo?
Mbaya zaidi, mpira ule uliporudi uwanjani ulitolewa nje na mchezaji wa Mamelody Sundowns, lakini mwamuzi alipokataa goli na kuamuru mpira uendelee aliwapa Mamelody wauanzishe badala ya kuamuru Yanga wapige kona.

By the way, Hongera sana DR Mambo Jambo Kwa kulishikia kidedea swala hili na kuleta updates kwa kila hatua na kwa kila kinachojili. Ingawa wewe ni upande ule mwingine.

Saludo!
Kweli kabisa mkuu!
SHukrani sana pia Mimi ni shabiki wa Mpira licha ya kuwa Shabiki wa Simba kindaki ndaki ila nikitamani walau Yanga angeingiza Team maana naamini angechukua Kombe kama sio kwenda fainali kabisa..

Yanga wana kikosi kizuri sana
 
Back
Top Bottom