Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli


OFFSIDE. Ndo maana refa hakutoa KONA KWA UTOPOLO. Sasa kama unabisha hayo ni matatizo yako binafsi
 
We jamaa mbona unaropoka sana!?
Kuna offside gani pale??
Kila mchezaji alikua on side na alichoamua yeye ni kuwa sio goli hakusema kuwa offside.
Nina wasi wasi utakua mjinga halisi kama ID yako.
Kama is ingekuwa OFFSIDE. utopolo wangepiga KONA maana aliytoa ni mchezaji wa mamelodi kwa kichwa.AKILI UNAZO ZITUMIE.
 
Na kwanini alianzisha mpira kwa kumpa golikipa wakati mpira ulitolewa nje na mchezaji wa Masandawana? Kwanini haikuwa kona?
 
Kama is ingekuwa OFFSIDE. utopolo wangepiga KONA maana aliytoa ni mchezaji wa mamelodi kwa kichwa.AKILI UNAZO ZITUMIE.
Matako wewe hakukua na offside,mpira ulitolewa nje mchezaji akauleta ndani na refa kwa kukataa goli akampa kipa aanzishe.
 
OFFSIDE. Ndo maana refa hakutoa KONA KWA UTOPOLO. Sasa kama unabisha hayo ni matatizo yako binafsi
Sasa kama Ni offside kwanini Alisimamisha Mpira kwa Dakika 10 nzima si angetoa Jibu moja tu Mpira ni Offside sasa kuna haja gani ya Kuhangaika na VAR wakati ni offside..

Sometimes Tuelewe mpira ili tucomment mimi n8 shabiki wa Simba ila Yanga wanastahili goal lao..na haikuwa Offside kama imgekuwa Offside tusingekuwa Tunaongea maswala ya Goal Line na Refa tena
 
Hata mimi namshangaa.
Kama ingekua offside ungeona kibendera kimeinuliwa basi,kusingekua na mjadala wa kujadili uhalali wa goli.
 
Na ingekuwa OFFSIDE mpira ungewekwa chini na kupigwa. Lakini, alipewa golikipa na kuupiga kama vile aliudaka..!!
 
Kama kulikuwa na OFFSIDE, mpira unawekwa chini na kupigwa. Kwanini alipewa golikipa na akaupiga kama vile aliudaka? Au wewe mwenzetu uliona mpira ukipigwa kuashiria OFFSIDE?? Hakumpa kipa kweli?
Ulitaka kipa apige vipi ndo ujue ilikuwa offside?
 
Ulitaka kipa apige vipi ndo ujue ilikuwa offside?
Kwa kuweka chini mahala ilipotokesa OFFSIDE...!! By the way, offside iliamuliwa na refa au wewe? Maana hakukuwa na filimbi ya refa, wala kibendera kuashiria offside..!! Sasa wewe mwenzetu OFFSIDE unaitoa wapi?
 
Kwa kuweka chini mahala ilipotokesa OFFSIDE...!! By the way, offside iliamuliwa na refa au wewe? Maana hakukuwa na filimbi ya refa, wala kibendera..!! Sasa wewe mwenzetu OFFSIDE unaitoa wapi?
Vizuri.kama aliyetoa mpira ni mchezaji wa mamelodi na refa hakutoa kona.nini tafsiri yake.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…