Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Kumamake naenda kuongeza nguvu ya kumtukana hadi afunge page yake
yale yale ya manara.
Usisahau kumtukana na huyu jamaa janja janja
 

Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 1
Yawezekama lugha kwako ni tatizo, mbona ref kaeleza vizuri hapo juu au ndo mmeamua kubisha tu?

Amesema kuwa refa ataitwa kutazama VAR tu pale wasaidizi wa kwenye VAR room wakishindwa kutoa uamuzi juu ya tukio lakini lile limeonekana ni rahisi hivyo hakukuwa na sababu ya yeye kwenda.
 
refa gani aliyeeleza..Unazijua ethics za professional referees kuhus mitandao ya kijamii..
Refa mkubwa kama yule ametoka kuchezesha fainal ya afcon majuzi Ivor coast vs Nigeria awe na Follewers 1600?...Mbona una reasoning ya kipumbav na ya kijinga namna hii😬😬😬
 
Huyu ndo mchawi
 

Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 1
Yawezekana we ni fala kabisa, kwamba unahisi kila mtu anatumia social media? Utajuaje kama amefungua akaunti jana au juzi?
Nyie ndo wale mnaosoma "chuo chetu kiko ghorofa ya pili" halafu chini disco juu bar. Vete ala mierda.
 
Lugha kwangu sio tatizo ila wewe hujaelewa nini nimelenga.


Labda nikuulize;
Refa alishatoa maamuzi juu ya Lomalissa,VAR kwa nini walimtaka arejelee tena maamuzi yake ayatizame upya!?
Je hapo anayeonekana ameshindwa kuwa msahihi kwenye tukio Refa au VAR?
Maana VAR ndio walionekana kutokuridhishwa na maamzi ya Refa kutoa kadi njano kwa Lomalissa kiasi wakamwambia apitie maamuzi yake upya.
Soma kwa umakini utaelewa refa kajichanganya wapi.
 
Na bado Hajasema Mpaka Aseme asituletee Ujinga Manara Peke yake hatoshi bado tutamfata mpaka huko Mauritania Tumpe za Uso sio ndio Tanzania Haki yetu haidhulumiwi
Haki ya uchaguzi vipi🤣
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
Yawezekana we ni fala kabisa, kwamba unahisi kila mtu anatumia social media? Utajuaje kama amefungua akaunti jana au juzi?
Nyie ndo wale mnaosoma "chuo chetu kiko ghorofa ya pili" halafu chini disco juu bar. Vete ala mierda.
Na ww n walewale hamna unachokijua..nikikuta unatawaliw na mkeo sitashangaa...
 


Hastahili kuongoza tena, maana yeye ndo anaamua.
 
Hii ni kweli inasikitisha. Sasa kwanini alimpa kipa auanzishe tena? Je aliuanzisha kama nani?
 
Yanga wangeelekeza Nguvu kubwa kufundisha wachezaji wao kupiga penati.

Unapaki basi wakati hujui kupiga penati?
 
Hajui kitufe cha block kilipo?
 
Kwa nini kama halikuwa goli? Mbona basi akuamulu mpira upigwe kona wakati aliyeutoa nje kwa kichwa ni beki wa Mamelod?
Badala yake akawapa faida mamelod kuanza mpira.
Kuna maswali ya kujiuliza hapa.
Refa alishachanganyikiwa allkuwa na mawazo mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…