Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

Naona insta gram kafuta account
Jinga jinga kama jina lako na roho ya kimaskini tu ndiyo inayokutesa Kolowizards [emoji38]View attachment 2956589
Kati yangu mimi na rais wako wa utopolo nani ana roho ya kimasikini?
 

Attachments

  • Screenshot_20240405_232604_Gallery.jpg
    75.4 KB · Views: 1
Acha hizo kijana, kwenye mpira mataifa mengine hadi mchezaji wa 12 anaingia uwanjani kudai lolote hasa za afrika kaskazini huko, leo watanzania wanapiga kwenye mshino unaona si sawa how!!
sahihi kabisa Yanga walitakiwa wafanye hivyo wakiwa uwanjani palepale,sio mpaka waende penati wakose waanze kapanga njama za kummaliza Motsepe siku akija Bongo.
 
Uto waliroga sn and walikua na uhakika ndio maana wachezaji wa mamelod walionekana wa kawaida sn na yule mwamuzi hawatamuacha salama wanasubiri tu upepo upoe utasikia tu kitakachowakuta
 
Simba walianza way back 1993 kupambania haki baada ya Stella Abidjan kuchezesha wachezaji ambao hakuwa kwenye orodha ya usajili.

Kama umeanza kufuatilia mpira juzi, sio rahisi kujua Umuhimu wa Simba katika Soka la Tanzania barani Africa.
 
Hivi goli la kagera suger unahitaji VAR kujua kuwa lile ni goli?
Hivi ile penality ya Geita ili hitaji VAR ili kujua ile ilikuwa ni faulu badala ya penality?
Na faida ya VAR imeonekana kwenye mechi yenu na ndio maana ikalikataa goli sasa unacho lalamika nini?

Mwaka juzi kwenye mechi ya robo fainal ya shirikisho dhidi ya Orando Simba walifungwa goli la kuotea na refa akaweka mpira kati na VAR ilikuwepo lakini alikataa kwenda kuhakiki.
Mwaka jana kwenye mechi na waydad Balake alifunga goli halali likakataliwa na refa kwa madai ya kuotea lakini haikuwa hivyo , lakini pamoja na hayo yote hatukushudia huu mijadala wa kipumbavu kama tunayo ishuhudia kutoka kwenu sasa hivi.

Kati ya taasisi iliyo jaa vilaza hapa Tz ni Yanga na ndio maana haijawahi kushinda kesi hata moja na hata hii mtashindwa vibaya sana na faini juu.
 
Offside mpira ungepigwa Kwa kuwekwa chini, kiufupi goli limekataliwa si Kwa sababu ya offside Bali Kwa Mujib wa var ofcers waliomo room walimdanganya refa kuwa mpira haijavuka mstari, kuhusu kutokuwa Kona napo ni makosa ya refa pia make ule mpira baada ya beki kuupiga kichwa, kipa alienda kuudakia nje lkn refa aliona kama umedakiwa ndani ndomana alimpa kipa aunzishe ukiwa kwenye mikono ya kipa.
 
Mjadala umekuwa mkubwa sana, nafikiri timu zetu zisajili washambuliaji wenye uwezo mkubwa vingenevyo mashabiki watakuwa wanatamanishwa tu. Washambuliaji wa Yanga wangekuwa wazuri Mamelodi wangepigwa home and away. Mechi ya Yanga imewatesa sana wanayanga, kwa jinsi viongozi walivyo serious msimu ujao watafanya usajili mzuri zaidi.
 
Umepigwa nje ndani bao 3-0, Unapata wapi nguvu za kujadili mambo ya utopolo?
 
Una uhakika gani kuwa walimdanganya?kwanini unaamini walimdanganya na hakukuwa na goal line technology?
 
Jinaa lako linasadifu wajihi wako
 
Umepigwa nje ndani bao 3-0, Unapata wapi nguvu za kujadili mambo ya utopolo?
Bora aliyepigwa nje ndani ana adabu.kuliko huyo utopolo. Anayelalamika dunia nzima.utadhani yeye ndo wa kwanza kufunga goli la utata
 
Mtu amekupotezea bilioni 7. Alafu anasema samahani, alafu iwe imeisha tu kienyeji. Ngoja na mm niende huko insta akaoge mitusi
Mahera alidhulumu uchaguzi mkawa kimya mambo ya kijinga mnaenda kutukana
 
Umepigwa nje ndani bao 3-0, Unapata wapi nguvu za kujadili mambo ya utopolo?
Mm nachukulia mpira kama burudani na ndio maana nikifungwa nakubaliana na matokeo.
Tofauti na nyinyi utopolo mnao uchukulia mpira kama utumwa na ndio maana ni siku ya 3 mnaendeleza mijadala ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…