Pre GE2025 Mwana CCM ajilipua, alaani mama Samia kutengewa fomu moja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.

Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda .

Mwana ccm ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Mbona Fomu za wagombea zingine ziko huko Chadema Kwa nini ashoboke na ya CCM?
 
Chama hakina katiba? Na kanuni zinasemaje punde mwanachama anapokosea kanuni za kikatiba za chama?
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda .

Mwana ccm ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
mpina Jr. sio:pedroP:
 
Duh aiseee
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda .

Mwana ccm ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
 
Huyu jamaa alikuwa kwenye maandamano ya chadema Dodoma, mtu wa karibu sana na Lissu na ni CDM sugu
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda .

Mwana ccm ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
Huu ndiyo ukweli.

Kila jambo linafanyika kama lilivyopangwa....

Waliomzunguka wanafanikiwa soonest....
 
Huyu amediriki kusema kwani ndio demokrasia.Hivi Mbowe huwa anagombea na nani na ameshinda mara ngapi Uenyekiti wa Chadema?Au ni Mwenyekiti wa kudumu mpaka kufa?
A pot calling a kettle black.
 
Ki ujumla mama kachokwa inabidi astafu tu mwakani, miaka 5 ya umakamu na 5 ya uraisi inamtosha sana
 
Ningekuwa nina access na Mwenyekiti ningemshauri, Mama Samia, waache watu wachukue fomu, unaogopa nini, ukishindwa utakosa nini zaidi ya ma stress ya uzeeni ???? Samia, you know ndani ya miaka minne umeshaweka pembeni cash money na vitega uchumi vya kutosha kutafuna na majukuu vizazi vinne vitano vijavyo, do you really have to get the other five years ? Your family is filthy rich for another 200 years, what else do you want?
 
Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda.

Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari.

Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
Chama cha machawa
 
Jamaa ana hoja nzito.tunasubiri Majibu
 
Huyu amediriki kusema kwani ndio demokrasia.Hivi Mbowe huwa anagombea na nani na ameshinda mara ngapi Uenyekiti wa Chadema?Au ni Mwenyekiti wa kudumu mpaka kufa?
A pot calling a kettle black.
Demokrasia ya fomu moja??

Form moja ni uoga na kutojiamini
 
Back
Top Bottom