Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Hawa wana CCM wahuni sana aisee. Eti wanamwombea mwenzao apate "raha ya milele"
Kumbe kifo ndo kiboko yenu sio? Mnakiogopa lakini nyie mnaona ni sawa na raha tu kuua watoto wa wengine siyo?
Kwa hakika bila kutubu (toba) makosa na dhambi yenu hii ya umwagaji damu zisizo na hatia, mauti hiyo hiyo itawarudia nyie na watoto wenu kwa njia rahisi kabisa isiyo na purukushani
HAKUNA WA KUWATEKA WALA KUWAVIZIA KWA BUNDUKI ZA AK47 au SMG bali;
√ Wengine mtakufa mkiwa vitandani mwenu mkifanya uzinzi
√ Wengine mtakufa kwenye magari yenu mkiendesha
√ Wengine mauti itawakuta mnakunya vyooni
√ Wengine mauti itawakuta mkiwa kwenye ofisi zenu
√ Wengine mauti itawakuta mkiwa mnatembea tu barabarani na njiani
#TUBUNI NA ACHENI KUUA WATU, ACHENI MATENDO YENU MAOVU. MAANA MLIPIZA KISASI YUKO NYUMA ANAWAFUKUZA NA AMEWAPATA!!