Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.

Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
 
Kafa yeye, Mke na Mtoto.

RIP Family.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Amos makala chawaccm wanahaha kuficha wizi wa pesa za walipa kodi bilion 15 walizotafuna kwa njia haramu za kishetani
 
Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.

Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
Acheni kuteka watu acheni kuwabambikia kesi za uongo acheni uonevu fanyeni mipango Tanganyika ipate uhuru wake muungano Ufe wakoloni makaburu wazanzibar warejee kwao
 
U
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Mmeanza kufurahia matatizo ya wenzenu? Ht we yatakupata tu. Huo ni uchawi siyo siasa
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
LABDA MAKAFARA YA MBOGAMBOGA YAMEANZA
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Majitu yametwaliwa yameacha hela ya laana yaliyolipwa.
 
Back
Top Bottom