Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

Daah ajali zipo ila kusafiri na mke nayo ni mtihani sana bara barani kuna mitihani mingi sana jana nimeona Golf imeingia uvunguni mwa Volvo Truck ikiwa inatembea yaani dereva wa golf kagonga truck iliyo kwenye site yake ikienda dereva wa golf kafariki pale pale na golf imetoka kipande cha chini tuu...
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Nimesikia mahali wanasema hakua Mke wake..... anyway nasikia Mwenyekiti alisema "kifo ni kifo Tu"
 
Hiyo ajali ni uso kwa uso bila shaka na wote walikuwa wamekaa mbele!
 
Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.

Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
Watu wanafurahia Kama wao wanavyofurahia kuteka kuuwa na kutesa. Hivi muuwaji akipatwa na mateso kwanini usifurahi. Mimi siyo Mnafiki
 
Daah ajali zipo ila kusafiri na mke nayo ni mtihani sana bara barani kuna mitihani mingi sana jana nimeona Golf imeingia uvunguni mwa Volvo Truck ikiwa inatembea yaani dereva wa golf kagonga truck iliyo kwenye site yake ikienda dereva wa golf kafariki pale pale na golf imetoka kipande cha chini tuu...
Golf ya polisi au?
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Ukweli nikua CHADEMA amfai kabisa kuendelea kua chama cha siasa apa nchini
 
Back
Top Bottom