Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Kifo kimoja tu umeleta Hadi jamii forums?


Watanzania wavivu kufanya kazi.

Hicho SI nikifo tu Cha kawaida kabisa .
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
RIP - APP
 
"Kwa wale conservative ambao wanataka mambo yaendlee kubaki hivi hivi(kufanya uchaguzi Kwa katiba hii hii) Kwa kulinda wakubwa,watakaushwa kimya kimya na baada ya muda hawatakuwepo"By Tumia akili,kwenye Uzi wake was "operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"

Tutarajie haya meengi kutokea kuendea uchaguzi wa mwaka huu kabla haujaahirishwa Ili kufanya reforms wanazotaka wenye dola!!

PIA

"Uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri Hadi katiba mpya ipatiiane,yaani ule wa 2024"By tumia akili kwenye Uzi ule ule!!

Nawaza!!
NB
kama wewe ni mwanaccm na team mama na una ushawishi mkubwa sana kwenye siasa jipe muda utazame movie "THE MECHANIC" ya JASON STATHAM.utaona jamaa anavyoweza ku fix it"I can fix it and look like An accident"niliitazama vizuri mara nne na sikuchoka,tutarajue haya nyakati hizi!!

RIP broo,poleni makomredi wenzangu!!
 
Ee Mungu nirehemu kwa hiki nilichowaza kichwani mwangu juu ya huyo Mwana ccm
 
In CHURA voice kufa ni kufa so what's!!?
Kazi ni kipimo cha utu
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Sawa, ajali na vifo ni kwa wana CCM tuu, chadema hawapati ajali wala kufa
 
Huu ushauri ungempatia Chura Kiziwi, ya kwamba asisahau na yeye siku yake ya kufa ikifika atakufa kifo kibaya sana! Kutokana tu na haya mauaji ya kikatili anayo yafanya kupitia lile genge lenu la uhalifu.
Na siku hiyo itakuwa sherehe kubwa kwa Tanganyika kuondokewa na huyu subiani mnyonya damu za Watanganyika.
 
HAO WATU WAKIJANI WANAPASWA KUPUNGUA KWA SPIDIBYA UPEPO KWA FAIDA YA VIZAZI VIJAVYO.
 
Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.

Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
Ushetani wako wakuona ajali kaangalie movie ukuishe
 
Back
Top Bottom