Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Hiyo caption kwenye picha inayoonesha gari ni 'dereva na mwanamke' wamefariki au ni "dereva na abiria" wamefariki?
 
"Nimeona, nimesikia kelele nyingi zikiibuliwa kuhusu kifo cha Ally KIBAO. Hii si sawa KIFO NI KIFO TU"

Sasa kama tuliambiwa hivyo na boss wetu, nyie Ccm kelele za nini jaman. Tulieni tu sindano itamchoma yeyote, tofauti ni muda wa kuchomwa.
 
Chadema wao wanauwawa kwa kutekwa na kupotezwa na kikozsi kazi cha chura kiziwi kikiongozwa na Mafwele.
Sawa ndo maana nikasema ajali na vifo ni kwa wana CCM tuu. Chadema nyie mnauawa tuu na CCM. Bila CCM kuwaua mtaishi milele.
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Kwanini mnapenda kupotosha habari? Kwa manufaa ya nani? Mkutano wa CCM umeisha lini? Huyo alikuwa anatoka hospital ambapo walimpeleka mtoto wao Ntyuka Hospital. Mnapotosha mpaka kwenye kifo??
 
CCM mmemtòa kafara mwenzenu sasa mmzike na msaidie watoto wake.
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Eti mwana CCM,si ungesema tu mtu mmoja flani bin flani kapata ajali watu tungekuelewa,pole sana kwa wafiwa...
 
Kahab.. . Mwanaccm hata siku Moja,hawezi kuwa na mwanamke wa ndoa kwenye gari lake.
wote ni marehemu hao ila ccm inamtambua kada wao mmoja tu RIP mwalimu na mtoto wako
IMG-20250605-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom