Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

Sasa unaniuliza ili iweje?
Nani aliyemua mzee KIBAO na kwann?
Yupo wapi Ben sanane?
Yupo wapi Alphonso mawazo?
Anzory Gwanda yupo wapi?
Nani hawa wanaua watu na kuwateka na hakuna hatua zinachukuliwa juu yao?
Kosa la Gwajima ni lipi?
Nimekuongeza maswali mengine
 
Nani aliyemua mzee KIBAO na kwann?
Yupo wapi Ben sanane?
Yupo wapi Alphonso mawazo?
Anzory Gwanda yupo wapi?
Nani hawa wanaua watu na kuwateka na hakuna hatua zinachukuliwa juu yao?
Kosa la Gwajima ni lipi?
Nimekuongeza maswali mengine
Sasa hii insha yote ya nini?
 
Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.

Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
Sio kweli acha wafe kama wanaweza kumuua mdude soka kibao sanane nk na Wala hawaoni haya sisi ninani tusinywe whisky?
 
School Mate
Econia Ngimba
Kutoka Kijiji cha Welu Iringa Vijijini.
Kafa yeye, Mke na Mtoto.

RIP Thy Family.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Apumzike kwa amani.

Ila utabebaje familia nzima kwenye mambo ya chama, hasa chama cha mapinduzi ikiwa Wao wenyewe hawaaminiani?.

Sivizuri kushirikisha familia kwenye mambo ya siasa, hasa kipindi hiki. Likitumwa kombora litajua wote mle ni walewale kumbe kuna mke na watoto.
 
View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
View attachment 3356600
Hawa wana CCM wahuni sana aisee. Eti wanamwombea mwenzao apate "raha ya milele"

Kumbe kifo ndo kiboko yenu sio? Mnakiogopa lakini nyie mnaona ni sawa na raha tu kuua watoto wa wengine siyo?

Kwa hakika bila kutubu (toba) makosa na dhambi yenu hii ya umwagaji damu zisizo na hatia, mauti hiyo hiyo itawarudia nyie na watoto wenu kwa njia rahisi kabisa isiyo na purukushani

HAKUNA WA KUWATEKA WALA KUWAVIZIA KWA BUNDUKI ZA AK47 au SMG bali;

√ Wengine mtakufa mkiwa vitandani mwenu mkifanya uzinzi

√ Wengine mtakufa kwenye magari yenu mkiendesha

√ Wengine mauti itawakuta mnakunya vyooni

√ Wengine mauti itawakuta mkiwa kwenye ofisi zenu

√ Wengine mauti itawakuta mkiwa mnatembea tu barabarani na njiani

#TUBUNI NA ACHENI KUUA WATU, ACHENI MATENDO YENU MAOVU. MAANA MLIPIZA KISASI YUKO NYUMA ANAWAFUKUZA NA AMEWAPATA!!
dah umenichekesha sana we jamaa
 
Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
Nikiweka unafiq pembeni mimi huwa sisikitishwi na madhila yoyote mabaya yanayomkuta mwanachama wa chama tawala japokuwa huwa siyafurahii.

Nikiona namna wanavyoshangilia ujinga hata kwa mambo yaliyo wazi napata hasira yaani sijui namna ya kuielezea,mtu anatetea utekaji,mauaji huyo ni wa kumuhurumia?
 
Back
Top Bottom