Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,106
Wapumzike kwa Amani
Mkuu umewaza nini kupost hii ,kwenye andiko hili? aisee
Alikuwa anafahamu kuwa wewe ndio yule best wake kule kwenye maisha real?Hizi taarifa zimenitisha, he is my best friend. RIP Ngimba
Wewe ni mkoma hauna vidole?Siandiki naongea kwahiyo ni makosa ya mwandishi
Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu hafurahii utekajiView attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
View attachment 3356600
Hawa wana CCM wahuni sana aisee. Eti wanamwombea mwenzao apate "raha ya milele"
Kumbe kifo ndo kiboko yenu sio? Mnakiogopa lakini nyie mnaona ni sawa na raha tu kuua watoto wa wengine siyo?
Kwa hakika bila kutubu (toba) makosa na dhambi yenu hii ya umwagaji damu zisizo na hatia, mauti hiyo hiyo itawarudia nyie na watoto wenu kwa njia rahisi kabisa isiyo na purukushani
HAKUNA WA KUWATEKA WALA KUWAVIZIA KWA BUNDUKI ZA AK47 au SMG bali;
√ Wengine mtakufa mkiwa vitandani mwenu mkifanya uzinzi
√ Wengine mtakufa kwenye magari yenu mkiendesha
√ Wengine mauti itawakuta mnakunya vyooni
√ Wengine mauti itawakuta mkiwa kwenye ofisi zenu
√ Wengine mauti itawakuta mkiwa mnatembea tu barabarani na njiani
#TUBUNI NA ACHENI KUUA WATU, ACHENI MATENDO YENU MAOVU. MAANA MLIPIZA KISASI YUKO NYUMA ANAWAFUKUZA NA AMEWAPATA!!
You can't be friend with Grave..... apumzike tupo nyuma yakeStill he is...
Sawa huongei, unaandikaSiandiki naongea kwahiyo ni makosa ya mwandishi
Kamanda umsehau DR.Slaa alisema sisi tuna kikundi cha kuteka na kuua?Sawa huongei, unaandika
Lakini Je, ni wepi wasiofaa kuwa chama cha siasa hadi sasa kati ya CCM & CHADEMA?
Je, ni CCM wanaoteka na kuua raia wanaokosoa sera na mipango juu ya nchi hii au CHADEMA inayopiga kelele kukomeshwa kwa utekaji na mauaji ya raia wasio na hatia bila kufuata sheria na kuhimiza reforms za kiutawala na kisiasa?
Wewe unajionaje ndugu Bishweko? Unajiona uko swasawa kabisa kiakili au zimepinda kidogo?
Maana unafikiri kinyume nyume, yaani upside - down👎 👎 👎 ndugu
Sikujua kama una ilo tatizo pole sana, endelea kuomba Mungu akulinde.Wewe ni mkoma hauna vidole?
Kifo ni kifo tuHizi taarifa zimenitisha, he is my best friend. RIP Ngimba
Kenge wewe, kifo ni kifo tu!U
Mmeanza kufurahia matatizo ya wenzenu? Ht we yatakupata tu. Huo ni uchawi siyo siasa
Alikuwa na mke wake au mchepukoView attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
View attachment 3356600
Hawa wana CCM wahuni sana aisee. Eti wanamwombea mwenzao apate "raha ya milele"
Kumbe kifo ndo kiboko yenu sio? Mnakiogopa lakini nyie mnaona ni sawa na raha tu kuua watoto wa wengine siyo?
Kwa hakika bila kutubu (toba) makosa na dhambi yenu hii ya umwagaji damu zisizo na hatia, mauti hiyo hiyo itawarudia nyie na watoto wenu kwa njia rahisi kabisa isiyo na purukushani
HAKUNA WA KUWATEKA WALA KUWAVIZIA KWA BUNDUKI ZA AK47 au SMG bali;
√ Wengine mtakufa mkiwa vitandani mwenu mkifanya uzinzi
√ Wengine mtakufa kwenye magari yenu mkiendesha
√ Wengine mauti itawakuta mnakunya vyooni
√ Wengine mauti itawakuta mkiwa kwenye ofisi zenu
√ Wengine mauti itawakuta mkiwa mnatembea tu barabarani na njiani
#TUBUNI NA ACHENI KUUA WATU, ACHENI MATENDO YENU MAOVU. MAANA MLIPIZA KISASI YUKO NYUMA ANAWAFUKUZA NA AMEWAPATA!!
Zingatia pia huu ni mwaka wa uchaguzi wenyewe Kwa wenyeweWanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- Kikwete