Mwana CCM na mkewe akitoka kwenye mkutano wa halmashauri kuu yao apata ajali na kufariki hapohapo eneo la mji wa Mitumba - Dodoma

View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao

Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
View attachment 3356600
Hawa wana CCM wahuni sana aisee. Eti wanamwombea mwenzao apate "raha ya milele"

Kumbe kifo ndo kiboko yenu sio? Mnakiogopa lakini nyie mnaona ni sawa na raha tu kuua watoto wa wengine siyo?

Kwa hakika bila kutubu (toba) makosa na dhambi yenu hii ya umwagaji damu zisizo na hatia, mauti hiyo hiyo itawarudia nyie na watoto wenu kwa njia rahisi kabisa isiyo na purukushani

HAKUNA WA KUWATEKA WALA KUWAVIZIA KWA BUNDUKI ZA AK47 au SMG bali;

√ Wengine mtakufa mkiwa vitandani mwenu mkifanya uzinzi

√ Wengine mtakufa kwenye magari yenu mkiendesha

√ Wengine mauti itawakuta mnakunya vyooni

√ Wengine mauti itawakuta mkiwa kwenye ofisi zenu

√ Wengine mauti itawakuta mkiwa mnatembea tu barabarani na njiani

#TUBUNI NA ACHENI KUUA WATU, ACHENI MATENDO YENU MAOVU. MAANA MLIPIZA KISASI YUKO NYUMA ANAWAFUKUZA NA AMEWAPATA!!
Aiseee.
 
MKUU. TAARIFA YAKO SIO SAHIHI. MAREHEMU NA MKEWE WALITOKA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA KUFANYA MATIBABU YA MTOTO AMBAYE NAYE AMEFARIKI KATIKA HIYO AJALI. Ni wakazi wa Chamwino Ikulu
 
Alale pema peponi....
20241206_190119.jpg
 
Kumbe hata watekaji nao hufai?
 
sa

safi sana israel mtoa roho, wafyekeee hawa mbwa kabsa
 
MKUU. TAARIFA YAKO SIO SAHIHI. MAREHEMU NA MKEWE WALITOKA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA KUFANYA MATIBABU YA MTOTO AMBAYE NAYE AMEFARIKI KATIKA HIYO AJALI. Ni wakazi wa Chamwino Ikulu
hata kama ni wa wapi na hata kama alikuwa natokea wapi maadamu ni ccm basi hell to go.

malaika mtoa roho amefanya njema sana
 
sa

safi sana israel mtoa roho, wafyekeee hawa mbwa kabsa
Safi kabisa kamanda wa lissu; hii ni Moja ya sentensi muhimu sana utakayoikumbuka vizuri sana sana sana siku ya kufa kwako. Amini nakuambia, itakurwjea tena na tena na tena Huku ukishangaa kama kweli uliisema wewe. Tuombeane mwisho mwema!
 
MKUU. TAARIFA YAKO SIO SAHIHI. MAREHEMU NA MKEWE WALITOKA HOSPITALI YA BENJAMINI MKAPA KUFANYA MATIBABU YA MTOTO AMBAYE NAYE AMEFARIKI KATIKA HIYO AJALI. Ni wakazi wa Chamwino Ikulu
Pole ndugu. Imeshaenda hiyo, hairudi

Hatuna shida na jamaa na mkewe

Shida kubwa ni hiyo jezi ya kijani, basi.

Alikosea sana kwenda hospital akiwa amevaa jezi hiyo yenye nuksi
 
Sasa mungu atafanya jambo Dr mpango anaenda kuwa Raus wa mpito

Naiwe hivyo kabla uchaguzi mkuu wa October ewe mwenyezi Mungu tunakuomba utuokoe Taifa letu linaongozwa na shetani
 
Back
Top Bottom