huyo mama ni mwalimu na gari waliazima kwa mwalimu mwenzake wa kiumeHuyo atakuwa mke wa mtu
Mwalimu, ametokea wapi, na CCMhuyo mama ni mwalimu na gari waliazima kwa mwalimu mwenzake wa kiume
There is another life after deathThat was before the News right ?....Now! He was, RIP brother.
Hiyo caption kwenye picha inayoonesha gari ni 'dereva na mwanamke' wamefariki au ni "dereva na abiria" wamefariki?
Kipenzi Watanzania wamefikishwa hapa na uongozi. Hakuna mtu aliyekuwa akifurahia kifo kabla. Kuna Baba, mume, mjomba, ndugu, rafiki na jirani wa watu, walimtoa uhai kikatili.Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.
Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
Rip Family...View attachment 3356474
Baba,mama na mtoto wote wamefariki mama ni mwalimu,baba ni maccm
Hapana, kwa sababu mimi sio kama wewe na nyie. Mimi nina busara, nayaona mabaya na kuyaepuka na kujificha. Lakini nyie vipi? Huendelea mbele kwa ujinga wa "kichawa" na jina lenu "chawa wa mama" kisha mkaumia na kufa kabisaHata wewe unaweza kupata ajali. Chunga sana.
😃😃Mambo ninayopenda kuyasikia View attachment 3356485
Duuh, masikini..View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Nani alimuua MZEE KIBAO na kwanini?Hata wewe unaweza kupata ajali. Chunga sana.
Hizi taarifa zimenitisha, he is my best friend. RIP Ngimba
Aisee🤔View attachment 3356474
Baba,mama na mtoto wote wamefariki mama ni mwalimu,baba ni maccm
Sasa unaniuliza ili iweje?Nani alimuua MZEE KIBAO na kwanini?
"Nyie" akina nani?Hapana, kwa sababu mimi sio kama wewe na nyie...