Hilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
School MateHizi taarifa zimenitisha, he is my best friend. RIP Ngimba
Kafa yeye, Mke na Mtoto.View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
ibirisi wa ccm wamemtoa kafara ili kupoza joto la kisiasa juu ya uonevu kwa GwajimaHata wewe unaweza kupata ajali. Chunga sana.
ibirisi wa huko ccm wamemtoa kafaraSchool Mate
Econia Ngimba
Kutoka Kijiji cha Welu Iringa Vijijini.
Kafa yeye, Mke na Mtoto.
RIP Thy Family.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Sasa mungu atafanya jambo Dr mpango anaenda kuwa Raus wa mpitoMungu hajawahi kudhihakiwa watekaji wanapungua
MhhhhhSasa mungu atafanya jambo Dr mpango anaenda kuwa Raus wa mpito
Utabiri wa marehemu Shekhe yahya unaukumbuka?Mhhhhh
Acheni kuteka watu acheni kuwabambikia kesi za uongo acheni uonevu fanyeni mipango Tanganyika ipate uhuru wake muungano Ufe wakoloni makaburu wazanzibar warejee kwaoHilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.
Wapumzike kwa amani, tusijenge utamaduni wa kufurahia vifo vya wengine sababu ya kutofautiana itikadi.
😄 🤣 hahahaha 🤣 ya sheikh Yahaya yalishatimia lakiniUtabiri wa marehemu Shekhe yahya unaukumbuka?
Mmeanza kufurahia matatizo ya wenzenu? Ht we yatakupata tu. Huo ni uchawi siyo siasaView attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Utakufa we funza tena kwa kupuliziwa dawaMuungano ufe Udikiteta usalie huko Zanzibar
Mrudisheni Mdude. Au yeye hakuwa binadamu???U
Mmeanza kufurahia matatizo ya wenzenu? Ht we yatakupata tu. Huo ni uchawi siyo siasa
LABDA MAKAFARA YA MBOGAMBOGA YAMEANZAView attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Majitu yametwaliwa yameacha hela ya laana yaliyolipwa.View attachment 3356257View attachment 3356258
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake tafadhali
Ndio tunakoelekeaHilo gari mbona bado bichi kabisa? Walau tungepata picha za pande zote.