Uchaguzi 2020 Mwana-CHADEMA aliyeshiriki vurugu zilizosababisha mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti atubu mbele ya Mama Samia!

Uchaguzi 2020 Mwana-CHADEMA aliyeshiriki vurugu zilizosababisha mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti atubu mbele ya Mama Samia!

Kama tu mienendo ya mpeperusha bendera kwa nafasi ya urais ni ya kibaishaiji, sasa itakuwa ndio hao green guards ambao hata hawajitambui kwa aina ya tuhuma nzito walizolishwa kuzitoa hadharani pasipo kupima kwanza athari zinavyoweza kuwageukia wao wenyewe.

Mtu wenye akili tu kawaida hawezi kufanya jambo la havyo kama hilo. Hizi ndizo akili za kushikiliwa na akina Bashiru na Polepole.
 
Mkuu johnthebaptist, japo kwa sasa mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM, lakini ni mwana CCM wa siasa safi na sio siasa za majitaka!. Huyo dogo ni msaka fursa tu, ili kuonyeshea Chadema ni chama cha wauwaji!. Matukio yote matatu aliyoyataja, kwanza yametokea kwa bahati mbaya, na yote walifyatua risasi ni polisi wetu!

Anataka kujenga hoja kuwa, vifo vile vilipangwa na Chadema na zile risasi zimefyatuliwa na Chadema!. Next step atazungumzia mipango ya Wangwe, na shambulio la Lissu!.

Nakiomba sana kwa dhati chama changu kisiwape airtime vichaa hawa!. CCM itashinda uchaguzi huu majimbo yote na kata zote, kwa track record ya kazi nzuri iliyofanywa na JPM na awamu ya tano, CCM hatuhitaji kutumia siasa za majitaka ili kushinda uchaguzi ili hali uchaguzi huu tumeishashinda siku nyingi, ile tarehe 28, ni kwenda tu kukamilishwa kwa taratibu na kuthibitisha ushindi mnono wa kishindo.

Hawa vichaa wa Chadema wapokelewe yes, lakini wasipewe air time. Na kama hayo aliyoyasema ni kweli, then sehemu stahiki alikopaswa kuwa ni Keko, Ukonga au Segerea na sio kwenye mkutano wa kampeni!.
P
 
Dah! Kuna watu wana roho za aina yake. Kwa aliyeona picha za kifo cha Mwangosi halafu anathubutu kuleta mzaha wa aina hii bila shaka nati zimelegea kweli.

Halafu haoni taabu kukumbushia huzuni za vifo vya Aquilina na Zona kwa risasi za Polisi waliokosa utu kabisa! This is utter shitthole politics! I hate this godamn society!
 
Huyo mwanaCHADEMA ndio alifyatua bunduki ?

CCM MMElaaniwa kuliko SHETANI 🐍🐍🐍🐍🐍
Ndiyo ndiye aimpiga na SMG D.mwangosi ,tena mbele ya RPC wa Iringa.
 
Na wenzao nao waombe basi msamaha maana kuna mengi tu pia.
 
Ahaa mmeshikwa pabaya...inaoenkana wewe unaweza kutisaidia kuwapata hata walioshiriki kumpiga risasi Lissu na kuwaufucha akina Azory Gwanda
 
Kila wakati CCM wakitengeneza movie zao za kishamba huwa zinaharibika kabla ya uzinduzi, siku zote mnawadanganya wajinga tu.
 
Baada kuona Siasa za kula Mahindi hadharani hazina tija mnaleta utoto....

2020-2025 Ni YEYE
 
Yamekuwa hayo tena, siyo akina Mbowe tena na wenzake waliohukumiwa kifungo au fine ya milioni zaidi ya mia tatu?.
 
Sinema zenu za KIPUMBAVU huko huko na wapumbavu wenzenu.
Huyo mama S. naye anajiingiza kwenye siasa za kipumbavu ataacha watu wamgeuzie kibao na kufunguka anayo wafanyia wasanii wa kike.
Watu watahoji kwa nini kamsababishia Uchebe ndoa yake imevunjika?
Shauri yake!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Anawafanyia nini Mkuu?

Huyo mama S. naye anajiingiza kwenye siasa za kipumbavu ataacha watu wamgeuzie kibao na kufunguka anayo wafanyia wasanii wa kike.
Watu watahoji kwa nini kamsababishia Uchebe ndoa yake imevunjika?
Shauri yake!
 
Hapa ndio ccm huwa wanawashinda upinzani

Uwez kukuta mtu ambae ametoka ccm na akaeleza mambo maovu ambayo alitumwa na viongozi wake

Ila watu wa upinzani Yan akitoka tu kwenye Chama, jambo la kwanza ni kueleza kila kitu
 
Anawafanyia nini Mkuu?
BAK bwana unataka niseme mimi? Hapana, wamuambie aache kujihusisha na hizo siasa za kina Mwigulu na Tesha wake la sivyo watu watajua kwa nini Shishi ameachika kwa Uchebe?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Yaani mnafikiri mtawashawishi watanzania kwa hizi propaganda za miaka ya 60????😂😂😂😂😂

Kweli CCM mna hali mbaya sana
 
Natamani kuiona siku Bashite naye atakapotubu hadharani.!
 
Back
Top Bottom