Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Hamis Mwinjuma akiwa jiji la Boston - Massachusetts.[h=1] [/h]
 
Humu ndan wengi mnasumbuliwa na wivu, kama kwako kawaida mbona yanakutoka maneno hivyo..? Wengine hata nauli ya basi tu mnabargain

Wala si wivu, unajua hata mm nilidhani labda kajenga jengo kuubwa tena si nyumba ya kulala tu kwani nahisi hiyo anayo ,bali jengo la biashara, au kakiwanda fulani, au chochote kitakachotoa ajira ya zaidi ya watu wawili, ila hiyo ya kupiga picha!!! Alafu kwenye ndege unaweza hama kutoka economi na ukaenda kukaa huko bussiness class kwa muda mfupi ukapiga picha za kutosha kisha ukarudi kwenye nafasi yako, hii ni km ndegw imetua sehwmu kwa ajili ya kushusha na kupakia abiria wengine.
 

Kwa sasa kibongobongo unaweza kununua kiatu watu wakakupa promo.

Kuna mtu anaitwa Lamar kanunua kiatu hapo hapo promo.
 
Kwa sasa kibongobongo unaweza kununua kiatu watu wakakupa promo.

Kuna mtu anaitwa Lamar kanunua kiatu hapo hapo promo.


Bongo hata mtu akienda dinner hotelini ni 'promo'
uswahilini wanaita 'kuosha'
utasia ameosha sana....ha haa haa....
 
Inaonekana ni jambo la adimu. Hivi kwanini wabongo tunapenda kupiga picha tukipanda ndege? Hii ilinitokea majuzi. Tunapanda ngazi za Fastjet, jamaa mbele yangu anapipa simu yake eti nimpige picha anapanda ngazi za ndege. SMH!

Mi ninatabia ya kurekodi ushuzi wangu kuweka kumbukumbu ya mijambo yangu!na kungekuwa na teknolojia ya kurekodi harufu ingekuwa bomba maana kuuhifadhi kwenye chupa zoezi lake gumu!
 
Ndege ikianguka wa business class hawafi au vipi?

Tell me what he owns. Haya mambo ya wasanii na usafiri mbona wengi wanalipiwa na sponsors tu hawa?


Kwa hali hii ya fikra za watu hata atawale Simba huwezi pata maendeleo....

uwezo Wa watu ktk kujadili na kupima complex issues ni very weak ndio maana unaona msanii na mashabiki wanaona issue kupanda business class na kuwa sehemu ya news wakati wengine tunapanda karibu kila msimu hata kupiga picha sijawahi....


Ndio maana unakuta wakati Mkapa anaamua kubinafsisha mashirika ya umma mitaji na masoko vilikuwepo tatizo kuu nini? jibu ni watu.....

Hawa ndio watu wenyewe wanaotazamiwa kujenga nchi wanaoshabikia Fulani kupanda ndege.... Fulani kumiliki SIMU na GARI Kali lakini hawawezi vuka mipaka ya kujadili utengenezaji au kwa vipi tunajenga uchumi....

Habari za watu Wa namna hii kichefu chefu tupu....
 
Bongo hata mtu akienda dinner hotelini ni 'promo'
uswahilini wanaita 'kuosha'
utasia ameosha sana....ha haa haa....

Tunaishi dunia tofauti sana.

Sasa na mimi ningetoa picha zote nilizompeleka Heather Pera hapo 42nd Street si ingekuwa tabu?
 
Bongo hata mtu akienda dinner hotelini ni 'promo'
uswahilini wanaita 'kuosha'
utasia ameosha sana....ha haa haa....


Akinywa wine huyo kaitupia instagram akinunua shati tayari ana make headlines tatizo IQ ni duni mno na akili za wengi ni Kama kamasi tu....
 

Nimeuliza hapa wanashadadia kupanda ndege wakisikia mtu ana kiwanda cha ndege itakuwaje?
 
Tunaishi dunia tofauti sana.

Sasa na mimi ningetoa picha zote nilizompeleka Heather Pera hapo 42nd Street si ingekuwa tabu?

Haa ukfanya hivyo next time itakuwa wanakuja kupiga picha na wewe wanazi post
unakuwa instant celeb ghafla....ha ha haa
 
Haa ukfanya hivyo next time itakuwa wanakuja kupiga picha na wewe wanazi post
unakuwa instant celeb ghafla....ha ha haa

Perish the thought.

Wengine moja ya sababu tumeondoka bongo ni kuukimbia huo u celebrity mbuzi.
 
Mi ninatabia ya kurekodi ushuzi wangu kuweka kumbukumbu ya mijambo yangu!na kungekuwa na teknolojia ya kurekodi harufu ingekuwa bomba maana kuuhifadhi kwenye chupa zoezi lake gumu!


Hahahaaaaaaa umenichekesha sana jamani
 
Nimeuliza hapa wanashadadia kupanda ndege wakisikia mtu ana kiwanda cha ndege itakuwaje?

Naona watamlamba mpaka mavi....

Hatuna kitu tunaweza kiweka mbele na kusema ni pride kwetu....

Burundi wamezindua ndege ya kufanya Masafa mpaka ulaya yakwao sisi tunajivunia mpuuzi kupanda business class....

Hata hivyo sidhani maswali unayowauliza watu wengi Wa jukwaa hili wanaweza kuwa na ability ya kujibu...

Wengi ni mkono kinywani na washindia miguu ya kuku so hata akili zao uwezo Wa kuelewa ama kujadili complex issues ni duni Sana....

Mfano kitu Kama Sera ya elimu ingekuwa hapo USA ingeshika mijadala mikali kila kona na Ku make headlines kwa media nyingi pamoja na forums mbalimbali...

Kungesikika mwitikio mkubwa na pengine kuvuta hisia za watu kujadili maana inagusa moja kwa moja maisha yao but sio bongo!!! Sera imezinduliwa but nothing is going on... Watu hawana mda kujadili wengi wanajisumbua kujadili vitu vya kipuuzi visivyo na impact yoyote kwa maisha yao....
 
Perish the thought.

Wengine moja ya sababu tumeondoka bongo ni kuukimbia huo u celebrity mbuzi.

Hivi kuishi Ulaya/USA/Nje ya Tanzania bado ni sifa? Au sijaelewa hapo red lilikuwa na ulazima sana? U-celeb mbona hata USA/UK/Nje ya Bongo Upo tu? Mbona Hasheem Celeb USA kuliko hata bongo na ni M-TZ? Hapo Kwenye Red Bado ni Sifa kuishi mambele? Tuisiwe tunamlahumu Mwana FA kwa kupiga picha kwenye ndege wakati sie wenyewe bado tuna ushamba wa design mwingine!! Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…