Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu ndan wengi mnasumbuliwa na wivu, kama kwako kawaida mbona yanakutoka maneno hivyo..? Wengine hata nauli ya basi tu mnabargain
Ndege yake au?
Maana kama kupanda ndege tu ni habari mpaka leo Tanzania, kazi tunayo.
yaani na kama alipewa offer na kulipiwa ni shida zaifi
Wala si wivu, unajua hata mm nilidhani labda kajenga jengo kuubwa tena si nyumba ya kulala tu kwani nahisi hiyo anayo ,bali jengo la biashara, au kakiwanda fulani, au chochote kitakachotoa ajira ya zaidi ya watu wawili, ila hiyo ya kupiga picha!!! Alafu kwenye ndege unaweza hama kutoka economi na ukaenda kukaa huko bussiness class kwa muda mfupi ukapiga picha za kutosha kisha ukarudi kwenye nafasi yako, hii ni km ndegw imetua sehwmu kwa ajili ya kushusha na kupakia abiria wengine.
Kwa sasa kibongobongo unaweza kununua kiatu watu wakakupa promo.
Kuna mtu anaitwa Lamar kanunua kiatu hapo hapo promo.
Kwani cha ajabu ni kipi?
Kwa sasa kibongobongo unaweza kununua kiatu watu wakakupa promo.
Kuna mtu anaitwa Lamar kanunua kiatu hapo hapo promo.
Inaonekana ni jambo la adimu. Hivi kwanini wabongo tunapenda kupiga picha tukipanda ndege? Hii ilinitokea majuzi. Tunapanda ngazi za Fastjet, jamaa mbele yangu anapipa simu yake eti nimpige picha anapanda ngazi za ndege. SMH!
Ndege ikianguka wa business class hawafi au vipi?
Tell me what he owns. Haya mambo ya wasanii na usafiri mbona wengi wanalipiwa na sponsors tu hawa?
Bongo hata mtu akienda dinner hotelini ni 'promo'
uswahilini wanaita 'kuosha'
utasia ameosha sana....ha haa haa....
Bongo hata mtu akienda dinner hotelini ni 'promo'
uswahilini wanaita 'kuosha'
utasia ameosha sana....ha haa haa....
Kwa hali hii ya fikra za watu hata atawale Simba huwezi pata maendeleo....
uwezo Wa watu ktk kujadili na kupima complex issues ni very weak ndio maana unaona msanii na mashabiki wanaona issue kupanda business class na kuwa sehemu ya news wakati wengine tunapanda karibu kila msimu hata kupiga picha sijawahi....
Ndio maana unakuta wakati Mkapa anaamua kubinafsisha mashirika ya umma mitaji na masoko vilikuwepo tatizo kuu nini? jibu ni watu.....
Hawa ndio watu wenyewe wanaotazamiwa kujenga nchi wanaoshabikia Fulani kupanda ndege.... Fulani kumiliki SIMU na GARI Kali lakini hawawezi vuka mipaka ya kujadili utengenezaji au kwa vipi tunajenga uchumi....
Habari za watu Wa namna hii kichefu chefu tupu....
Tunaishi dunia tofauti sana.
Sasa na mimi ningetoa picha zote nilizompeleka Heather Pera hapo 42nd Street si ingekuwa tabu?
Haa ukfanya hivyo next time itakuwa wanakuja kupiga picha na wewe wanazi post
unakuwa instant celeb ghafla....ha ha haa
Mi ninatabia ya kurekodi ushuzi wangu kuweka kumbukumbu ya mijambo yangu!na kungekuwa na teknolojia ya kurekodi harufu ingekuwa bomba maana kuuhifadhi kwenye chupa zoezi lake gumu!
Perish the thought.
Wengine moja ya sababu tumeondoka bongo ni kuukimbia huo u celebrity mbuzi.
Is kupanda ndege a newss?
Nimeuliza hapa wanashadadia kupanda ndege wakisikia mtu ana kiwanda cha ndege itakuwaje?
Perish the thought.
Wengine moja ya sababu tumeondoka bongo ni kuukimbia huo u celebrity mbuzi.