Mwana FA & AY acheni utapeli, hamna miziki yenye thamani ya Bilioni 2.1, Tigo gomeni

Hapa suala siyo thamani ya muziki bali kutumia kazi ya sanaa ya mtu bila ridhaa
 
Kupitia iyo nyimbo tigo wameingiza zaidi ya iyo bil 2.kwakuwa hawakuwashirikisha basi iyo ni mali ya kina ay na fa na wakili wao haijalishi lolote lile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu waajabu sana aise. Unachukua muda kuandika ungese hela za baba yako?
 
Sasa povu la nn au
Kwa vile umeona wakilipwa
Hyo pesa hupat hapo hata
Skar 1kg

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kama nyimbo zao zimetumika bila ruhusa basi wana haki ya kudai kiasi chochote kwakuwa wao ndio wanajua wali hustle vipi kuzitengeneza
 
Eti Tanzania Kuna Msanii Mkubwa Mmoja Tu Diamond Hahahahahaaaaa, Mtoa Mada Acha Ushabiki Endelea Na Chuki Wenzio Wako Ulaya Wanapiga Shoo Za Kibabe, Wewe Endelea Kukariri Maisha Tu
 
Uliza kwanza kesi ni ya lini!?
 
Sijawahi ona mtu bwege wa kifikra kama ww mhandishi wa Uzi huu...diamond anahusika vipi sasa
Au jaza ujazwe za tigo zimekuchanganya

Mimi sio bwege ila watanzania kuanzia raisi wao hadi wasanii wanataka kupata utajiri kwa fidia na sio kufanya kazi. Hao kina fa na ay muziki umewashinda wanataka kuchomokea kwenye fidia
 
Pana mahali nilisoma sifa moja ya kuwa mchawi ni roho mbaya mtoa mada tayari unayo. Ila kama ulitaka usome upepo basi hiki ni kimbunga kimekuzoa mzima mzima ahsanteni wadau wote kwa michango yenu iliyo tukuka
 
kuna ka ukweli flani hivi
 
mkuu roho mbaya inatibika wahi hospitali mapema hujachelewa
 
Na kwa jinsi ilivo , kama itatokea wakalipwa(japo hawatalipwa) ndio watakuwa wasanii matajiri yaani namba 2 na 3 baada ya diamond. Sasa kweli waTu hawatrend , ni wahenga, hawana hit halaf wawe wasanii matajiri namba 2 na 3, tena kwa fidia feki sio fair.

Au bado ni uchawi
 
acha roho mbaya ww Tigo walipiga pesa sana kipind cha nyuma kama sio wasanii kustuka wangeendelea kuliwa tu acha walipe maana hata ukiweka salio tu unakuta limeisha bila sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ww jamaa acha chuki bana hata wangelipwa bil5 bd ningeona poa tu wanapiga pisa sana hii mitandao na kutuibia juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kama haufiki thamani hiyo, utakuwa na thamani ipi sasa kama wengine wanakuwa na uhuru wa kukiuka hatimiliki za wasanii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…