Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupitia iyo nyimbo tigo wameingiza zaidi ya iyo bil 2.kwakuwa hawakuwashirikisha basi iyo ni mali ya kina ay na fa na wakili wao haijalishi lolote lileNimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
Kama nyimbo zao zimetumika bila ruhusa basi wana haki ya kudai kiasi chochote kwakuwa wao ndio wanajua wali hustle vipi kuzitengeneza
Uliza kwanza kesi ni ya lini!?Nimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
Sijawahi ona mtu bwege wa kifikra kama ww mhandishi wa Uzi huu...diamond anahusika vipi sasa
Au jaza ujazwe za tigo zimekuchanganya
kuna ka ukweli flani hiviNimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
mkuu roho mbaya inatibika wahi hospitali mapema hujachelewaNimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
ww jamaa acha chuki bana hata wangelipwa bil5 bd ningeona poa tu wanapiga pisa sana hii mitandao na kutuibia juuNa kwa jinsi ilivo , kama itatokea wakalipwa(japo hawatalipwa) ndio watakuwa wasanii matajiri yaani namba 2 na 3 baada ya diamond. Sasa kweli waTu hawatrend , ni wahenga, hawana hit halaf wawe wasanii matajiri namba 2 na 3, tena kwa fidia feki sio fair.
Au bado ni uchawi