BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kunywa sumu mana hamna namna mana hela watalipwa
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia ati Mwana FA na AY wakiahirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati maliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani c kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msaanii mkubwa ni mmoja tu Diamond jspo na yeye ana wimbo wa bil 2.1, msitegemee mistaki za watu kutajirika, fanyeni mziki uwalipe kama diamond huo utapeli mnaotaka kufanya mungu anawaona.
Thanks in Advance
Ndugu yangu duniani kuna watu wa ajabu sana....Tigo wasingetumia kama kungekuwa hakuna faida kwao!!...Jamaa ameumia sana, nimeshindwa hata kuelewa kinachomuuma ni nini, Tigo wanadaiwa, anakuja mtu kutoa povu huku JF sasa hii inaonyesha wabongo hatupendi maaendeleo ya wenzetu....We unajua kupitia nyimbo yao kampuni ya Tigo imeingiza bei gani??
Kudaiwa wadaiwe Tigo wewe roho inakuuma vipi?
Kama Tigo watagoma kulipa sheria zipo wataburuzwa mahakamani, huwezi kutumia ubunifu wa mtu mwingine ili ujipatie fedha kirahisi, wacha waisome namba kwanza wanatuibia sana kila tunapoweka salio kwenye simu.
Na wewe unatakiwa kujiuliza kwanini Tigo wamechukua kazi za wasanii hao bila idhini? au unadhani walistahili kulipwa ngapi?......huwezi kujiuliza kwanini mtu akivunja na kuiba hata kama ni kitasa cha 60,000 na kuiba radio ya 15,000 anachezea mvua za kutosha (je kifungo ni sawa na mali iliyoibiwa).......hiyo inaitwa hukumu waliopewa Tigo inaitwa "iwe mfano kwa wengine wanaoiba kazi za wasanii"ni kweli kabisa wasanii hawa hawana mziki wa bil 2 ila naomba unambie tigo ina wateja wangapi hapa bongo? imepata kiasi gani baada ya kutumia nyimbo za wasanii hawa?na kwanini tigo watumie jasho la wasanii hawa kwa wizi?
Kuna hali flani ya watu wasiokuwa na fedha kuwachukia wenye fedha yaani mtu anataka yeye apate ama ukipata wewe angalau na yeye pia awe ni miongoni mwa waliopata...jamaa wivu tu ndo unamsumbuaNdugu yangu duniani kuna watu wa ajabu sana....Tigo wasingetumia kama kungekuwa hakuna faida kwao!!...Jamaa ameumia sana, nimeshindwa hata kuelewa kinachomuuma ni nini, Tigo wanadaiwa, anakuja mtu kutoa povu huku JF sasa hii inaonyesha wabongo hatupendi maaendeleo ya wenzetu....
Ndio kizungumkuti cha fidia hicho mtu anatamka tuNimesikia ati Mwana FA na AY wakiahirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati maliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani c kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msaanii mkubwa ni mmoja tu Diamond jspo na yeye ana wimbo wa bil 2.1, msitegemee mistaki za watu kutajirika, fanyeni mziki uwalipe kama diamond huo utapeli mnaotaka kufanya mungu anawaona.
Thanks in Advance
Nimesikia ati Mwana FA na AY wakiahirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati maliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani c kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msaanii mkubwa ni mmoja tu Diamond jspo na yeye ana wimbo wa bil 2.1, msitegemee mistaki za watu kutajirika, fanyeni mziki uwalipe kama diamond huo utapeli mnaotaka kufanya mungu anawaona.
Thanks in Advance
Na wewe unatakiwa kujiuliza kwanini Tigo wamechukua kazi za wasanii hao bila idhini? au unadhani walistahili kulipwa ngapi?......huwezi kujiuliza kwanini mtu akivunja na kuiba hata kama ni kitasa cha 60,000 na kuiba radio ya 15,000 anachezea mvua za kutosha (je kifungo ni sawa na mali iliyoibiwa).......hiyo inaitwa hukumu waliopewa Tigo inaitwa "iwe mfano kwa wengine wanaoiba kazi za wasanii"