Mwana FA ni Jay Z wa Tanzania

Mwana FA ni Jay Z wa Tanzania

Zaman nilikua namkubali sana FA kwa michano yake ya kibabe, ila baada ya mie kuanza kusoma vitabu na kusikiliza mziki tofauti tofauti duniani nikagundua kajamaa huwaga kanakopi/kutafsiri tu mistari(a.K.a gugo transileta). Hakunaga mstari wa ngoma yake ulinibamba kama ule ''MI NI ALMASI MCHANGANI,SEMA TU SIJASHTUKIWA'' . Kuna siku nimetulia gheto namsikiliza mtu mzima 50cent ngoma ya many men nakuta anachana same line, yaani ilibaki kidogo nikoment page ya mtu mzima 50 ''yo 50 you kopied ze laini flom mwana fa, mwingine fid eti ''NAULENGA MWEZI NA JUA HATA NIKIUKOSA NTATUA JUU YA NYOTA'' i waz like r u siliaz nigg? Ukiwa artist pasua kichwa uje na chako kuliko kupewa taji kwa vina vya tafsiri,
bora namsikilize SONGA na goma lake lile anaimba maisha ya ndege(aliwaza nje ya box) au lile la usiku
 
nilikuwa na mkubari sana mwana FA ila alivoingia ccm tu na kupata ubunge wa vimemo na nyimbo zake zote mpaka zile za nyuma nikazichukia sababu zimekaa kiccm
Wacha kupoteza furaha yako kwa vitu visivyo faida nawe. Utateseka sana nchi hii.
 
FA huwa anaimba mtazamo wake kuhusu maisha na mahusiano, binafsi huwa sikubaliani naye.

Kwanza Mwanamume kuweka pesaa mbele ya kila kitu ni ushoga, lazima uwe na mipaka.

In short,ni uswahili wa kichoko, na ndio maana anaishi kwa uchawa.

Eti Masikini Jeuri ni msemo tu,usiuweke kwenye akili, yaweza kuwa hata hao kina Salaah anayowafanyia uchawa wanamfira. Maana kea maelezo yake jamaa ni dhaifu sana akioneshwa pesa.
 
Back
Top Bottom