Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Wakuu mmesikia huko?

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
Tanzania ilipofika sasa tunahitaji.mola.aingilie kati huu ushubwada /uchawa umezidi kipimo
 
Back
Top Bottom