Mr RMJ
JF-Expert Member
- Jun 30, 2022
- 454
- 904
Mkuu hapo pasomeke pindi wanapojiunga ccm au pindi wanaporambishwa asaliHivi nini hua k8nawabadili vijana wanao onekana wana akili timamu, pindi tu wanapo ingia kwenye siasa..🤔
Yaani huna najiuliza sana...😶