Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Yeye ndio anagawa Ushindi kwamba ni Maalumu kwa nani..., Yeye kama Nani ?

Huu Upuuzi wa kuleta Siasa kwenye mambo ya Kitaifa no wonder kuna watu wameamua kuachana na Taifa Stars.... Wameshindwa huko kwenye kuleta Sera za kuwainua maboss wao (wananchi) wanawaingilia kwenye starehe zao.... (Mpira na Timu yao ya Taifa)

By the way mbona sisikii wanamuwajibisha kwenye majanga yanayotokea kila siku kutokana na uzembe wao wote na yeye akiwemo...
 
Hii nchi ina takataka nyingi sana ase.

Hawa watu ndio viongozi tunawategemea waivushe nchi? Hata kufikiri kuleta maendeleo hawawezi wamekaa ofisini tu kuzurula na kusifu.

Kodi zetu zinaliwa kizembe sana na wajinga wachache.
 
Hili jamaa nalo ni jinga na mzigo kwa taifa. Kwanini isiwe kwa watanzania iwe rais tu. Tutahamia Burundi tuwaachie nchi yenu nyie CCM na machawa
 
Ila mkifungwa ham dedicate kwa Rais mnamlaumu kocha, mkishinda hata kocha humtaji unamtaja Rais
Ngoja wafungwe tutawasikia ni maalumu kwa ajili ya nani kufungwa huko nataka nisikie kufungwa huku ni maalumu kwa rais Samia
 
Hivi nini hua k8nawabadili vijana wanao onekana wana akili timamu, pindi tu wanapo ingia kwenye siasa..🤔
Yaani huna najiuliza sana...😶
Hahaha pambio moja km hilo lina thamani kubwa sana wewe tu haujui yaan ukipiga pambio moja km hilo kwenye siku za usone kuna endorsement inakufuata mezani
 
Back
Top Bottom