Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Nchi hii mazezeta ndiyo wanakuwa viongozi! Sijui sifa gani imezingatiwa hadi huyo zezeta kapewa ubunge na unaibu waziri juu! Maana kwenye kura za maoni wana ccm wa Muheza walimkataa lakini yule mashabiki wake walikuwa wakimwita shujaa kambeba kwa mbeleko.
 
Wakuu mmesikia huko?

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
kwenye timu ya taifa watanzania tumeanza kuonyesha kuwa wamoja ila sasa,kwa uchawa huu lolote baya liwakute jumanne ijayo dhidi ya Gine
 
Mkifungwa na Guinea pia uchungu wote asilaumiwe kocha bali huyo huyo mama enu.
 
Ifike mahali hawa viongozi wampumzishe mama kwa kuacha kumtaja taja kila tukio..... sometimes ni too........
 
Back
Top Bottom