Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Tanzania ilipofika sasa tunahitaji.mola.aingilie kati huu ushubwada /uchawa umezidi kipimoWakuu mmesikia huko?
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
Hiki ndicho kunanifanya nisiwe sehemu ya mashabiki wa StarsWakuu mmesikia huko?
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
Ni ushindi muhimu kwa watanzania woteWakuu mmesikia huko?
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
View attachment 3154426
Ndege yake karithi toka kwa baba yake?Rais katoa ndege yake si jambo dogo
Guinea kasonga na DRC. hao wengine wajambe tuDawa yao kuwaachia Guinea washinde goli 5
Watakaposhindwa kufuzu pia aje aseme ni zawadi kwa Sa100Wakuu mmesikia huko?