Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Basi, nishajua kwa nini hatuelewani.

Hujui historia ya Tanzania.
Mimi naijua historia ya Tanzania ila sema labda sifikii kiwango chako .Na nauhakika wanaoijua kukuzidi ni malaki ya watu lakini sioni kama wanahaki ya kusema hujui historia kwa kutoijua data 1.Jifunzen kukosoa kwa staha .unataka sema wewe unajua kila kitu kuhusu historia ya Tanzania .
 
Ingawaje sina hakika kama chuo kilichompa masters ni chuo halisi au ni kati ya vyuo vyenye kugawa masters na Ph.D. kama njugu, napena kusema kuwa inawezekana kupata master degree bila kuwa na bachelors degree. Napenda ikumbukwe kuwa advanced diploma zilizokuwa zinatolewa na vyuo kama Mzumbe, IFM, Ustawi na vinginevyo, diploma zake zilikuwa zinatambulika kulinana na bachelors degree katika vyuo vya USA, Australia, Uingereza, n.k. Wanafunzi wangu wengi waliyopata advanced diploma walienda USA, UK., na kwingneko na kupata masters na Ph.D. hata kabla yangu. Kwa hiyo mheshimiwa siyo wa kwanza kupata masters bila bachelors degree.
 
Ile ni Advanced Diploma in insurance siyo diploma jombaa admin wa bunge alichemka
Kama alipata advanced diploma basi tungeona ordinary diploma apo kwenye CV yake, inawezekana vipi kutoka certificate to advanced diploma
 
Mimi naijua historia ya Tanzania ila sema labda sifikii kiwango chako .Na nauhakika wanaoijua kukuzidi ni malaki ya watu lakini sioni kama wanahaki ya kusema hujui historia kwa kutoijua data 1.Jifunzen kukosoa kwa staha .unataka sema wewe unajua kila kitu kuhusu historia ya Tanzania .
Hujafikia kiwango cha kujibizana nami.

Kwa kazi inayohitajika, nitahitaji unilipe nikurudishe darasani.
Na kwa sasa sina muda wala nishati ya kufundisha historia.

Kukosoa kwa staha ni muhimu kwako, si kwangu, hivyo usinipandikizie staha zako kwangu.

Mimi naweka kipaumbele kwenye kukuambia ukweli kuliko kukustahi kwa fake modesty.

You should learn to appreciate that.
 
Kama alipata advanced diploma basi tungeona ordinary diploma apo kwenye CV yake, inawezekana vipi kutoka certificate to advanced diploma
Kama alipata 1st class yawezekana. Ila mmmhhhh....
 
Hujafikia kiwango cha kujibizana nami.

Kwa kazi inayohitajika, nitahitaji unilipe nikurudishe darasani.
Na kwa sasa sina muda wala nishati ya kufundisha historia.

Kukosoa kwa staha ni muhimu kwako, si kwangu, hivyo usinipandikizie staha zako kwangu.

Mimi naweka kipaumbele kwenye kukuambia ukweli kuliko kukustahi kwa fake modesty.

You should learn to appreciate that.
Sawa .
 
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Coventry UniversityMasters of Science in Finance20092010Masters Degree
Institute of Finance Management (IFM).Diploma in Insurance20042007Diploma
Institute of Finance Management (IFM).Certificate in Infromation Tehnoloy20032004Certificate
Yule wa kule Peramiho anayo degree ?
 
Awe na shahada au asiwe na shahada, kwangu hilo si la muhimu sana.

Kama ana uwezo mzuri wa utendaji kazi kwa uadilifu, inatosha.

Lililo la muhimu kwangu ni kama kweli anazo hizo sifa za kitaaluma zilizoainishwa hapo.

Ni kweli ana Master’s? Ni kweli kasoma na kuhitimu kwenye hizo taasisi?
Hizo, Ni Kweli Anazo
 
Advanced diploms ilifutwa 2016 so walio na hiyo kitu ni diploms holders. Advances diploma those days 2016 and beyond was equal to bachelor degree , yee kapata. Ubunge 2020. Advanced diploma ilipokuwa tayari imefutwa .

So after consultation between bunge na wizara ya elimu pamoja na TCU and NACTE. Hivyo ndo ilivyo amuliwa
 
Full Stop And Long Break Honorable PhD Joseph (Joe) Kasheku Msukuma (King Msukuma)
Ameomba Mdahalo Na Professor Yoyote Bongo Amesema Atamkalisha Kwa Nondo Kali
 
Back
Top Bottom