DALALI MKUU usichoelewa ni kua miaka hiyo IFM haikua na bachelor degree kama ilivyo sasa, ila walikua na Advance diploma ambayo ndo hiyo kapata FA, na hiyo ni equivalent to degree ya sasa.
Na sasa IFM waliachana na huo mfumo nao wana degree pia.
Hapo
Kiranga kamuongelea Nyerere nadhani nae alipata kitu kama hii ndio maana wana masters.
Japo no kawaida ya wabongo kubeza waliofanikiwa kuwazidi ila ni vyema tukawa na taarifa sahihi ama lah kuruhusu mbongo zipokee mambo +ve kuhusu waliotuzidi kuliko kufumbata -vity tu, na kuwaatack kwa wivu tu.