Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo.

Nyerere alitoka Makerere na Diploma, akaenda Edinburgh akatoka na Masters, hivyo hivyo.

Kwa hivyo ni vitu vilivyofanyika miaka mingi tu, hata kabla ya uhuru.
Ulikuwa ukisoma advance diploma, unakwenda kufanya shahada ya pili moja kwa moja
 
Amejitahidi kuunga unga mpaka ametoboa. Enzi hizo wanapigana vijembe na akina Lady Jaydee kwenye wimbo wa wanaume kama mabinti, hata usingeweza kumdhania kama angefika hapo alipo.

Kuna kipindi alikuwa anasoma diploma pale IFM alikuwa anakomaa.
Muache bana maana kapambana sana mpaka hapo alipofikia.

Naye Prof. J, hata Sugu wamekomaa sana mpaka hapo walipofika.
 
Kuna makosa mengi sana kwenye hiyo Website
Yes,
Changamoto hazikosekani hususani in third world countries

Kwa muda mwingi na ukisoma comments za wadau wanasema means FA alitoka ordinary diploma ya insurance mpk masters ya finance

Mkuu
Kiranga alisema kua kwa ulaya Ni sawa mtu anaweza kusoma ordinary diploma mpaka masters
 
Ulikuwa ukisoma advance diploma, unakwenda kufanya shahada ya pili moja kwa moja
Hapana. Nyerere hana shahada ya pili.

Ana shahada ya kwanza inayoitwa Masters. It's a weird and ancient degree from Scotland.

Kasome kitabu cha Profesa wa The University of Edinburgh anaitwa Timothy Molony, kitabu kinaitwa "Nyerere: The Early Years". Humo utakuta mpaka maksi alizopata Nyerere.
 
Yes,
Changamoto hazikosekani hususani in third world countries

Kwa muda mwingi na ukisoma comments za wadau wanasema means FA alitoka ordinary diploma ya insurance mpk masters ya finance

Mkuu
Kiranga alisema kua kwa ulaya Ni sawa mtu anaweza kusoma ordinary diploma mpaka masters
Inawezakana...kama ni Masters nina uhakika, tulikuwa wote IFM at the same time, ila sio class moja
 
Post graduate diploma unasoma ukiwa na DEGREE na hata kwenye ku apply post graduate diploma kigezo Ni degree ya kwanza E.g Mimi ninayo moja ya FINANCE nilitumia degree ku apply nikasoma mwaka mmoja then nikafaulu na kufanikiwa kuipata
Hata Advanced Diploma inakubalika ukitaka kusoma Post Graduate diploma. Wewe Phd uliipataje kama kitu kidogo kama hiki hujui?
 
Amejitahidi kuunga unga mpaka ametoboa. Enzi hizo wanapigana vijembe na akina Lady Jaydee kwenye wimbo wa wanaume kama mabinti, hata usingeweza kumdhania kama angefika hapo alipo.
Aliwahi kuitwa MwanaFAtuma 🤣
 
Hata Advanced Diploma inakubalika ukitaka kusoma Post Graduate diploma. Wewe Phd uliipataje kama kitu kidogo kama hiki hujui?
Umejiuliza na kujijibu mwenyewe 😊 siitaji battle
Advance diploma is equivalent to degree Hilo Mbona linajulikana na lipogo wazi sema kingine
 
Hapana. Nyerere hana shahada ya pili.

Ana shahada ya kwanza inayoitwa Masters. It's a weird and ancient degree from Scotland.

Kasome kitabu cha Profesa wa The University of Edinburgh anaitwa Timothy Molony, kitabu kinaitwa "Nyerere: The Early Years". Humo utakuta mpaka maksi alizopata Nyerere.
Ila sikuwa namrefer Nyerere. Hata hapa Tanzania kwa baadhi ya fani uikuwa ukifanya advanced dipoma, ilikuwa ni equivalent na shahada ya kwanza, ulikuwa unaendelea na shahada ya pili moja kwa moja.
 
Inawezekana kabisa na itakuwa diploma yake ni Advanced Diploma, si jambo la kushangaza wala.
Ko ukiwa na advanced diplom ndo usome masters nyie acheni kutuchora sema ndoiv jamaa kajitahid kuunga mpk kafik ila iyo masters yake ndo inaleta utata maybe ipo ivo tusibishe sana
 
Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri

Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?

hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge

Education History :​

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
Coventry UniversityMasters of Science in Finance20092010Masters Degree
Institute of Finance Management (IFM).Diploma in Insurance20042007Diploma
Institute of Finance Management (IFM).Certificate in Infromation Tehnoloy20032004Certificate
Afadhali ya Mwana FA, enzi zake akiwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB) taarifa za Freeman Aikaeli Mbowe za kielimu katika Tovuti Rasmi ya Bunge ilikuwa "ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA" tu! Ahahahahaha! Usisahau hapo King Musukuma ni LA SABA! Kudadadeki!! Ahahahahaha!!!!
 
Unasema anaakili sana kwa kutumia vigezo gani
Dogo kwa elimu yake ndogo na umaskini aliokulia lakini kafanikiwa kuunda kampuni kubwa kama wasafi ambayo imeajiri watu wengi sana, na sio wasafi tuu kuna mengi na wengi mnajua sina haja kuyaongelea, kama sio akili nyingi ni nini? dont hate brother
 
Back
Top Bottom