King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ni wivu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wapi panaonyesha alisoma postgraduateInawezekana kufanya Masters bila ya Bachelor degree hasa nchi ya Uingereza kama muhusika ana Diploma anasoma Post graduate Diploma alafu unaruhusiwa kufanya Masters degree
Naangalia clouds TV muda huu naona Jinsi mwana FA anavyo tupanga kwenye TK MOVEMENTMwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Tk movement ndiyo nini doktaNaangalia clouds TV muda huu naona Jinsi mwana FA anavyo tupanga kwenye TK MOVEMENT
😊😊😊😊
Kwa kirefu hii movement NiTk movement ndiyo nini dokta
Ova
Kwa kirefu hii movement Ni
TAIFA LETU KESHO YETU MOVEMENT (TK MOVEMENT)
Leo wapo DODOMA wanazindua hii movement
Sawa Ndiyo Wameamua Kuja HivyoKwa kirefu hii movement Ni
TAIFA LETU KESHO YETU MOVEMENT (TK MOVEMENT)
Leo wapo DODOMA wanazindua hii movement
Unasema anaakili sana kwa kutumia vigezo ganiMbona kasoma vizuri tuu, dunia ya leo degree sio issue, nchi kama US wanathamini sana uwezo wako kikazi kuliko degree uliyonayo, mtu kama Diamond anaonekana ana akili sana hata kama hajasoma na anaweza akawa kiongozi mzuri kuliko mtu mwenye PHd, soma kwa faida yako lakini usitegemee degree kupata nafasi ya uongozi
Nyerere pia hakuwa na degree ya kwanza.Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Hiyo masters alichukua nchi gani?Mwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Degree wanazo wengi lakini hakuna kitu wanafanyia hiyo neno degreeMwana FA anaweza Kuingia kwenye Historia ya aina yake, kwanza kwa Kusoma Masters bila kuwa na Degree lakini pia Kuwa waziri asiye na Degree katika baraza la Mawaziri
Hivi ilikuaje akasoma masters bila kuwa na Degree, inawezekana?
hii ndiyo CV yake kwa mujibu wa tovuti Rasmi ya Bunge
Education History :
School Name/Location Course/Degree/Award From To Level Coventry University Masters of Science in Finance 2009 2010 Masters Degree Institute of Finance Management (IFM). Diploma in Insurance 2004 2007 Diploma Institute of Finance Management (IFM). Certificate in Infromation Tehnoloy 2003 2004 Certificate
Shigongo na yeye anachambua Elimu yetu..Sawa Ndiyo Wameamua Kuja Hivyo
Kwanini mkuu fafanuaUsiamini sana hiyo website ya bunge
Post graduate diploma unasoma ukiwa na DEGREE na hata kwenye ku apply post graduate diploma kigezo Ni degree ya kwanza E.g Mimi ninayo moja ya FINANCE nilitumia degree ku apply nikasoma mwaka mmoja then nikafaulu na kufanikiwa kuipataPost-graduate Diploma c ndo Degree au?
Ahsante kwa somo.Post graduate diploma unasoma ukiwa na DEGREE na hata kwenye ku apply post graduate diploma kigezo Ni degree ya kwanza E.g Mimi ninayo moja ya FINANCE nilitumia degree ku apply nikasoma mwaka mmoja then nikafaulu na kufanikiwa kuipata
PowaaAhsante kwa somo.