DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
- Thread starter
-
- #321
basi aambie mods warekebishe waandike hivyo kwamba ni waziri pekeeasiye na B.degree. ana elimu ya kuunga unga amesoma Adv Dipl. na masters ndani ya miaka mitatuHana Bachelors degree, ila ana Masters degree; swali lililopo hapa ni hilo
"Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree"
.... Siyo jukumu langu ila najua kuwa ana Masters degree aliyopata Coventry University, ambacho ni chuo chenye accreditation inayotambulika duniani.basi aambie mods warekebishe waandike hivyo kwamba ni waziri pekeeasiye na B.degree. ana elimu ya kuunga unga amesoma Adv Dipl. na masters ndani ya miaka mitatu
Kwa Nyerere, degree ya kwanza ya University of Edinburgh ilikuwa inaitwa Masters. Yani hata angetoka sekondari A Level na kwenda kwenye hiyo degree angemaliza na kupata Masters.DALALI MKUU usichoelewa ni kua miaka hiyo IFM haikua na bachelor degree kama ilivyo sasa, ila walikua na Advance diploma ambayo ndo hiyo kapata FA, na hiyo ni equivalent to degree ya sasa.
Na sasa IFM waliachana na huo mfumo nao wana degree pia.
Hapo Kiranga kamuongelea Nyerere nadhani nae alipata kitu kama hii ndio maana wana masters.
Japo no kawaida ya wabongo kubeza waliofanikiwa kuwazidi ila ni vyema tukawa na taarifa sahihi ama lah kuruhusu mbongo zipokee mambo +ve kuhusu waliotuzidi kuliko kufumbata -vity tu, na kuwaatack kwa wivu tu.
Na ndio wavumbuzi wakubwa wakati sisi tuna kina kabudi.Elimu ya vyuo vya nje huwa havina complication, vina utaratibu wa kuvusha watu darasa kutokana na uwezo fulani wa muhusika; unaweza kuta kijana wa miaka 23 ana Phd.
Aaaah kumbe....K.I.S.O.K.O.L.O.K.W.I N.Y.O