Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
bi mkubwa nimesoma maelezo ya Mentor hapo juu, fanya tu uwe unaenda kwake. Kwanza huwa anapika mwenyewe (how sweet), pili kila ukiwa unaondoka kuna at least 50k yako. Mungu akupe nini tena, mengine yatayokupata huko ni ajali tu kazini tehBahati mbaya alivyotaja situmii, so mie bado ni mgeni wako shemeji, na ratiba ishakamilika.
Dota una akili kweli, ila hayo ya ajali hapana bwana, mimi nakwenda kula tu, huoni bahati hiyo, maana sipiki wala sioshi vyombo, nikimaliza tu kula nasepa.bi mkubwa nimesoma maelezo ya Mentor hapo juu, fanya tu uwe unaenda kwake. Kwanza huwa anapika mwenyewe (how sweet), pili kila ukiwa unaondoka kuna at least 50k yako. Mungu akupe nini tena, mengine yatayokupata huko ni ajali tu kazini teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asubuhi chai na mayai miwili=1000
Chakula mchana 3000
Chakula jioni=4000
Bia na mengineyo =10000
Total 9000
Hiyo total nimeioata kwa kutumia formula iliyo tumika kujumlisha michango ya kagera.
Haha yani unafanywa malkia, rahaje. Watu kama hao, unajikuta wewe mwenyewe ndo unawaomba ukawatembelee.Dota una akili kweli, ila hayo ya ajali hapana bwana, mimi nakwenda kula tu, huoni bahati hiyo, maana sipiki wala sioshi vyombo, nikimaliza tu kula nasepa.
Ndio maana nimeomba kabisa.Haha yani unafanywa malkia, rahaje. Watu kama hao, unajikuta wewe mwenyewe ndo unawaomba ukawatembelee.
Haha nguruka naenda kukufungashia keshoNdio maana nimeomba kabisa.
Usijisahaulishe nguruka wangu.
Oa upunguze gharama za maishaSupu 4000, mchana 10,000 jioni 20,000 = 34,000
Hivi ukioa gharama zinapungua ama zinaongezeka!!!Oa upunguze gharama za maisha
Wiki ijayo takuwa moro nitawala hadi nikinai.Haha nguruka naenda kukufungashia kesho
kwani wewe ni mbuzi?Nipo Bush situmii hata jero leo,,,
Bila shaka wewe ndo LUGUMI mwenyeweMimi kwa siku natumia Tshs 25,102,015/=
Na sio kuoa tu, inategemea utaoa mke wa aina gani (ana matumizi gani), maana kuna wake wanajua kuspend eehHivi ukioa gharama zinapungua ama zinaongezeka!!!
Ndio, na sasaivi nimekuja huku daslam kwa shemeji nimejiunga Veta...Mitihani mmemaliza?
Kweli nimekubali kiloba kwenye bajey[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Bila shaka wewe ni wakili wa SERIKALI.Bila shaka wewe ndo LUGUMI mwenyewe
Gharama za msosi zitapungua,kichuo chuo tu msosi wa kupika mwenyewe ni nafuu kuliko wa cafteria ambao hata kushiba haushibi na ukibakiza huwez kusema ukile badae ila chakupika u can eat twice au muda wowote ukiwa na njaa ukafanya kuongezea vitu vidg like kinywaji matunda etc......apo mpo couple bila ndugu ndugu na unexpected wageniHivi ukioa gharama zinapungua ama zinaongezeka!!!
You're being following.....sio kwa ufisadi huo kumbe unavimbisha tu tumbo lako badala ya kucreate ajira kwa watz wenzako ili tupunguze machungu soon utaanza kuishi kama......Bila shaka wewe ni wakili wa SERIKALI.
Dua la Kuku hilo.......Hii inaitwa Survival for the fittest.You're being following.....sio kwa ufisadi huo kumbe unavimbisha tu tumbo lako badala ya kucreate ajira kwa watz wenzako ili tupunguze machungu soon utaanza kuishi kama......
Na kweli.Na sio kuoa tu, inategemea utaoa mke wa aina gani (ana matumizi gani), maana kuna wake wanajua kuspend eeh