The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Piga hesabu Asubuhi hiyo
Roger Dat,Nilijua matumizi ya siku....Kwa siku kwa kula ni roughly 25,000/=
Piga hesabu Asubuhi hiyo
Asbuhi: mke wangu amepika chapati au chochote nyumbani approximately 4500
mchana sana inakua wali na samaki au nyama 2kg = 12000
usiku urojo, au chai au chakula laini chochote = 6000
total = 22500
nakula kwangu, hapo zanzibar. Sili kwa mama ntilie wala hoteliMkuu ni sehemu gani hapa bongo wanauza msosi kwa kilo??!
Utakua fisadi weweHapana mkuu hiyo ni default lazima iondoke kwa siku,ni average.
nakula kwangu, hapo zanzibar. Sili kwa mama ntilie wala hoteli
Rudia tena! Sjakuskia vizuri!! Eti?Mimi kwa siku natumia Tshs 25,102,015/=
Mkuu rudia matukio ya mwaka jana,....kuna moja nadhani hulikumbuki vizuri.Rudia tena! Sjakuskia vizuri!! Eti?
Labda kutonana na umri wako 23years (Umezaliwa:1993) ndio unaona hiyo pesa per day ni nyingi,nakumbuka kuna dingi glani miaka ya 95' alikuwa anatumia 50,000/= per day tulikuwa tunashangaa sana kama wewe unavyoshangaa sasa.Utakua fisadi wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Food lovers.Mkuu ni sehemu gani hapa bongo wanauza msosi kwa kilo??!
OsterbayFood lovers.