Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Wewe ni jambazi uweza kufanya hivyo ila kumbuka one day tutakunasa tu
Piga hesabu Asubuhi hiyo
14991179_702198949938535_462541079255427063_o.jpg
 
Asbuhi: mke wangu amepika chapati au chochote nyumbani approximately 4500
mchana sana inakua wali na samaki au nyama 2kg = 12000
usiku urojo, au chai au chakula laini chochote = 6000
total = 22500
 
Piga hesabu Asubuhi hiyo
14991179_702198949938535_462541079255427063_o.jpg


Mkuu unless hii picha umedownload tu naomba nikuulize swali...

Kwenye hizo sauces hapo chini kulia, hiyo ya kijani nimeiona kwenye mexican joints nyingi, huwa ni nini!??
 
Asbuhi: mke wangu amepika chapati au chochote nyumbani approximately 4500
mchana sana inakua wali na samaki au nyama 2kg = 12000
usiku urojo, au chai au chakula laini chochote = 6000
total = 22500


Mkuu ni sehemu gani hapa bongo wanauza msosi kwa kilo??!
 
nakula kwangu, hapo zanzibar. Sili kwa mama ntilie wala hoteli


Kwa hiyo ukirudi home mnapima uzito wa chakula?

au umemaanisha kwa mfano ni wali, basi mnapima mchele kg 2???? Na huo ni wako mwenyewe au ndo familia nzima? na mko wangapi? sorry kwa maswali mengi...
 
Kikawaida 15,000 kwa siku, ila sometime inapanda hadi 25,000 kwa siku
 
Utakua fisadi wewe
Labda kutonana na umri wako 23years (Umezaliwa:1993) ndio unaona hiyo pesa per day ni nyingi,nakumbuka kuna dingi glani miaka ya 95' alikuwa anatumia 50,000/= per day tulikuwa tunashangaa sana kama wewe unavyoshangaa sasa.
 
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500

Jumla 5100.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom