jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Ha ha ha ha Brexit imeishusha hadi 2800!Hivi exchange rate ya pound kwa tsh ni ngapi sasa!??
Mkuu kiswahili chake sikijui ila hapo kuna mchanganyiko waMkuu unless hii picha umedownload tu naomba nikuulize swali...
Kwenye hizo sauces hapo chini kulia, hiyo ya kijani nimeiona kwenye mexican joints nyingi, huwa ni nini!??
Wali maharage bukubuku, kifungua kinywa kikowapi hapo?1 $ (one dollar) is enough
Wali harage za buku buku hasubuhi na jioni nkishushia na maji ya kisima siku imeenda
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
WA KISHUA embu njoo utuelezeWabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.
Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
Weekend ijayo arsenal vs man utd, huwa naangalia big games Samaki Samaki early kick off so mpira plus lunch at least 20k, game ya saa 1800,2030 hapo itabidi npige na dinner hapi hapo another 20k. Mpira unaisha saa tatu na nusu hivi wale wa usiku wanaanza kuingia panapendeza inabidi nijiunge nao hadi sita au saba hivi another 20k assuming im alone and not interest with anyone minimum budget 60k.Hahaha weekend ni shida kwa kweli..hapo ndo unapotamani uwe umeoa maana kupika unaona uvivu na njaa unasikia, unaishia kwenda kula chakula hata hushibi ila ghali!
Yani mimi huwa napanga kabisa..asubuhi nikiamka nitachemsha samaki ninywe supu na chapati, baada ya hapo samaki wawili nitawaunga vizuri nitengeneze mchuzi wa kutosha lunch na jioni.
Labda najisemea leo nitapika wali kwenye rice cooker wa kutosha mchana na jioni. Nikitoka gharama ni vinywaji tu tena mimi hata vilevi situmii so kichwani bajeti ni ndogo mno.
Subiri uamke sasa...mara RRONDO amekupitia mnaenda kunywa mtori Liquid kule Kigamboni...ukirudi hapo umechoka na uvivu juu wala samaki huwakumbuki..unaishia kwenda kula nje the rest of the day!!! Tena usiombe hiyo siku kuwe na games jioni ndo kabisaaa jiko litakusikia tu kwa jirani...weekends ni mbaya sana aisee kwa mifuko ya bachelors wengi!!!
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Weekend ijayo arsenal vs man utd, huwa naangalia big games Samaki Samaki early kick off so mpira plus lunch at least 20k, game ya saa 1800,2030 hapo itabidi npige na dinner hapi hapo another 20k. Mpira unaisha saa tatu na nusu hivi wale wa usiku wanaanza kuingia panapendeza inabidi nijiunge nao hadi sita au saba hivi another 20k assuming im alone and not interest with anyone minimum budget 60k.
Hamna kitu kama hicho. Kfc 4pc meal +pepsi £3.99 mchana umepita. Jioni anapita kwa wapakistan ananunua chips+wings+pepsi £3.99. Less than £8 amekula mchana na jioni na anapiga box minimum £7/hr.Kwa hiyo tang'ana anakula 154k kwa siku!?? Au maisha ni ghali kiasi hicho huko UK???
... assuming im alone and not interest with anyone minimum budget 60k.
Kipepeo kuna football? Nianze kuja. Kule south beach 10k kiingilio halafu kuna vitu vya plastic vya pepsi kama huku kwetu kwenye vibanda umiza.Halafu kumbe kweli bana nikajua anatuuzia chai: Hivi vyakula naweza kuvipata Uingereza?
Hiyo mechi naisubiria kuliko game yetu aisee.
Haha samaki samaki duh kuna jamaa yangu hivi anapendaga kusema KUUPATA UKIMWI NI HADI ULOGWE yeye hadi kapewa jina hapo samaki samaki (vile vibao vilivyobandikwa). Pale si sehemu ya sport sport maana lazima uchojoe noti tu. Mimi nikitumia hela nyingi kwa Kigamboni kwetu nimeenda beach Kipepeo kiingilio 5k na msosi kama pork 16k unaweza kula ukawaambia wakuwekee ule tena baadaye...huwa sipendi sport sport kwenye hela yangu sibakizi change!!!
Unakula aloo masala na ghobi masala pamoja na naan miksa mint chatney asubuhi?[emoji1] [emoji1]Piga hesabu Asubuhi hiyo
Nakaribia kustahafu kijana 50+Wewe una umri Gani?