[emoji23] [emoji23] [emoji23] na hiyo avatar sasa!Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Hamna kitu kama hicho. Kfc 4pc meal +pepsi £3.99 mchana umepita. Jioni anapita kwa wapakistan ananunua chips+wings+pepsi £3.99. Less than £8 amekula mchana na jioni na anapiga box minimum £7/hr.
kwa siku ni wastani wa buku ten ila inategemee inaweza zidi au kupunguaWabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.
Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
Kipepeo kuna football? Nianze kuja. Kule south beach 10k kiingilio halafu kuna vitu vya plastic vya pepsi kama huku kwetu kwenye vibanda umiza.
Mkuu unless hii picha umedownload tu naomba nikuulize swali...
Kwenye hizo sauces hapo chini kulia, hiyo ya kijani nimeiona kwenye mexican joints nyingi, huwa ni nini!??
Katika watu waliochanganua vizuri, wewe ni m1wapo. Kuna mambo mawaili naomba uniwekee sawa kutokana na mtoa mada alivyouliza matumizi ya bajeti ya mtu mmoja.Kwa siku natumia 48,000/=
1.Wali au Ugali (2500 au 1500)
kg per day
2.Nyama au Samaki (7000 au 10000)
3.Mkaa au mafuta au gesi (1500 au 1200 au 1700)
4.Maji (kupika kuoga kufua)=1500
6.Maji ya kunywa =1300
7.Umeme 4units per day=1500
8.Hg mshahara per day 1500
9.Mafuta ya gari per day 10000
10.Mafuta ya kupikia per day 600.
11.Chai maziwa 2000 na mkate 1000.
12.Gharama za nyumba 10000 per day.
13.Matunda 3000.
Total = ~ 48,000/=
Ni kwa family nzima sio mimi, mimi kama mimi:-Hahahahaaaaa
Yan wewe mda wote ulioishi hapa duniani unakula 45Elf Tumbo lako lina ukubwa gan...!??
Hongera sanaNakaribia kustahafu kijana 50+
No £55 is a lot of money in UK. Akienda supermarket Tesco/Asda anajaza trolley moja la groceries. Pizza hut,Nandos hamalizi hio hela.Hahaha usimsemee mkuu...huenda kaenda kubeba box la kiutu uzima pesa ndefu kwa nini ujibane.
No £55 is a lot of money in UK. Akienda supermarket Tesco/Asda anajaza trolley moja la groceries. Pizza hut,Nandos hamalizi hio hela.
Tupo wengi tuu wala usishtuke Sana.Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
1. Ni kwa family nzima sio mimi, mimi kama mimi:-Katika watu waliochanganua vizuri, wewe ni m1wapo. Kuna mambo mawaili naomba uniwekee sawa kutokana na mtoa mada alivyouliza matumizi ya bajeti ya mtu mmoja.
Hizo kilo kilo nadhani ni natumizi ya familia. Hapo ulitakiwa kugawa kwa watumiaji, au unazilamba mwenyewe hizo kilokilo mkuu?
Kingine gharama ya nyumba kwa siku inapatikanaje, ama unaishi "gesti" mkuu?
Ninaomba ufafanuzi tafadhali.
Ndiyo kifungua kinywa mchana bahati nzuri ijumaa naenda kuwinda kwanzia ijumaa hadi juma tatu tunakula nyama choma za swala hela ya vinywaji tu ndiyo inatoka unakula nyama choma na Mizinga ya nyagi pabaUnakula aloo masala na ghobi masala pamoja na naan miksa mint chatney asubuhi?[emoji1] [emoji1]
Huo ndio ukweli maana ukitunza kumbukumbu unaeza kuta inabidi ufikishwe mahakama ya mafisadiSisi wenye familia hatuweki hesabu hapo maana kwa mishahara ilivyo mtasema haiwezekani lazima mtakuwa wapiga dili!
U need to get out of your comfort zone ili uweze kupiga hatua.....Mi najishangaa sana kwann siendelei kwa sababu kipato changu km tsh 60,000 per day na matumizi yangu pamoja na mkopo wa bank ni 35000 lkn sipigi hatua karibu miaka miwili mambo yamesimama sijui kwann wakuu.
Huwezi kutumia £55 kwa kula siku moja. Hio ni £385 per week. Maybe anakula kule Nobu na akina Beckham.Tumpe nafasi ya kutetea hoja yake...au alimaanisha £5.5
Cc: @tang'anaaaaaaaaa
kaandike (malengo yako) vtu unavyovitaka ufanye kwenye kioo unachojtizamia geto au andika kwenye mlango wa rum upande wa ndani.