Hiyo gharama inatutosheleza kabisa wawili jirani.Mkuu swali ni, "unakula...?"
Ahaha karibu sana. Halafu uzuri wa kuwa wawili gharama ina balance vizuri sana!
Huna haja ya kuomba miujiza maana unatenda miujiza mwenyewe.M nnachojua natumia zaid ya nnacholipwa job kwa mwez. Inayozid sjui naipataga wap na kwa nmiujiza gan!!
Teh teh teeeeeh!!! Nikijifungia ndani usinishangae.Hahaha weekend ni shida kwa kweli..hapo ndo unapotamani uwe umeoa maana kupika unaona uvivu na njaa unasikia, unaishia kwenda kula chakula hata hushibi ila ghali!
Yani mimi huwa napanga kabisa..asubuhi nikiamka nitachemsha samaki ninywe supu na chapati, baada ya hapo samaki wawili nitawaunga vizuri nitengeneze mchuzi wa kutosha lunch na jioni.
Labda najisemea leo nitapika wali kwenye rice cooker wa kutosha mchana na jioni. Nikitoka gharama ni vinywaji tu tena mimi hata vilevi situmii so kichwani bajeti ni ndogo mno.
Subiri uamke sasa...mara RRONDO amekupitia mnaenda kunywa mtori Liquid kule Kigamboni...ukirudi hapo umechoka na uvivu juu wala samaki huwakumbuki..unaishia kwenda kula nje the rest of the day!!! Tena usiombe hiyo siku kuwe na games jioni ndo kabisaaa jiko litakusikia tu kwa jirani...weekends ni mbaya sana aisee kwa mifuko ya bachelors wengi!!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaha uoe tu mkuu hahaha.
shemeji yako alikuwaga Arsenal ilikuwa raha sana kwenda naye kucheki games. Masharti yake yalikuwa nivae jezi ya Arsenal na yeye avae ya kwangu ya Chelsea. Msimu uliopita ulikuwa raha maana nikimcheka leo wikiendi ijayo nakula kichapo.
Ila anasaidia sana kupunguza bajeti za kijinga za mupe muruke.
Siku asipoenda mechi ikikaribia kuisha tu utapokea sms: Baby kwani mechi haiishi tu.
Yani alikuwa updated hadi alikuwa na app ya livescore sema mwishoni nilimbadilishia timezone akawa haelewi inaendaje endaje..sipendagi ujinga wakati mwingine..dah umenikumbusha machungu mkuu!!doh
Haaaaahaaaaa duuuAsubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Mkuu,Wabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.
Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
25 10 2015......Fikiri tena halafu ndipo uulize swali.mkuu una kituo cha mayatima/albino nn?
Hiyo gharama inatutosheleza kabisa wawili jirani.
Teh teh teeeeeh!!! Nikijifungia ndani usinishangae.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]