Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Sitaki kuhesabu hela niliyo tumia sababu machungu nayopataga ni hatari
 
unategemea na uchum mwaka jana nilkuwa na2mia milion 1 kwa cku ila kaz ninazobika mwaka huu nasahau had kula xo huwa na2mia 3000[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Asubuh = Chapati + supu =3500

Mchana = Wali + Maini + maji =4500

Jioni = Wali + samaki + maziwa+ maji=5000

Vocha + usafiri = 3000

Total~16000
 
  1. Cofee marrybrown: Cappuccino = 4500/=
  2. Nakula chochote gharama hua inachezea 3500 - 13,000/= inategemea na siku
  3. Maji: Nakumat = 900 * 2 = 1800
 
Hahaha weekend ni shida kwa kweli..hapo ndo unapotamani uwe umeoa maana kupika unaona uvivu na njaa unasikia, unaishia kwenda kula chakula hata hushibi ila ghali!

Yani mimi huwa napanga kabisa..asubuhi nikiamka nitachemsha samaki ninywe supu na chapati, baada ya hapo samaki wawili nitawaunga vizuri nitengeneze mchuzi wa kutosha lunch na jioni.

Labda najisemea leo nitapika wali kwenye rice cooker wa kutosha mchana na jioni. Nikitoka gharama ni vinywaji tu tena mimi hata vilevi situmii so kichwani bajeti ni ndogo mno.

Subiri uamke sasa...mara RRONDO amekupitia mnaenda kunywa mtori Liquid kule Kigamboni...ukirudi hapo umechoka na uvivu juu wala samaki huwakumbuki..unaishia kwenda kula nje the rest of the day!!! Tena usiombe hiyo siku kuwe na games jioni ndo kabisaaa jiko litakusikia tu kwa jirani...weekends ni mbaya sana aisee kwa mifuko ya bachelors wengi!!!
Teh teh teeeeeh!!! Nikijifungia ndani usinishangae.
 
Hahaha uoe tu mkuu hahaha.

shemeji yako alikuwaga Arsenal ilikuwa raha sana kwenda naye kucheki games. Masharti yake yalikuwa nivae jezi ya Arsenal na yeye avae ya kwangu ya Chelsea. Msimu uliopita ulikuwa raha maana nikimcheka leo wikiendi ijayo nakula kichapo.

Ila anasaidia sana kupunguza bajeti za kijinga za mupe muruke.

Siku asipoenda mechi ikikaribia kuisha tu utapokea sms: Baby kwani mechi haiishi tu.

Yani alikuwa updated hadi alikuwa na app ya livescore sema mwishoni nilimbadilishia timezone akawa haelewi inaendaje endaje..sipendagi ujinga wakati mwingine..dah umenikumbusha machungu mkuu!!doh
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa.

Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
Mkuu,

Badilisha kichwa cha habari yako kisomeke " ......... unatumia Shilingi ngapi kwa ajili ya kununulia chakula ........"

Kaka ...
 
asbuhi 3,chapati, 600 mchana 6,ndizi mbivu 600 usiku ugali wa dona maharage samaki na parachichi moja 5000, vocha 1000
 
Mimi ni mwanachuo ndo kwanza first year..... Kwa siku naweza kutumia 4000 mpk 4500 huku nikiwa nangojea boom au hela za magufuli.... Ili niweze kutumia 6000 kwa siku
 
Na kuhusu vocha nawashukuru sana halotel maana ka vocha kangu ka jero mb 600 ambazo natumia ku peruzi peruzi jamii kujifunza vitu vipya na maoni ya raia pia ku google baadhi ya vitu bila kusahau kujibu jibu message za whatsapp....... Naweza tumia siku tatu mpk nne hzo mb 600
 
Laki 3 kwa wiki kwenye vyakula na vinywaji, mimi na familia
 
Hiyo gharama inatutosheleza kabisa wawili jirani.

Hahah tui-round off iwe 30,000/- kwa siku. It is reasonable kabisa...

Teh teh teeeeeh!!! Nikijifungia ndani usinishangae.

Hahaha ukiwa na mtu ndani unakula nyumbani mara nyingi.

Nakumbuka hapa juzi nilikaa na mtoto wa aunt yangu anasoma chuo. Nilikuwa nampa 250,000/- kwa mwezi yani siwazi kabisa nitakula nini.

Mwisho wa mwezi tunaenda zetu ferry tunanunua mchele, unga, sukari na mafuta...mboga anapanga ratiba mwenyewe plus kuhakikisha anapata ya kwake ya lunch akiwa chuo na iliwezekana kabisa...ndipo nikaamini hata nikioa sitapata shida sana.

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]

hiyo ni past tense ticha lol!!!
 
Back
Top Bottom