TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

sijui unaisemea ulaya ipi mkuu ambako eti hawafi ovyo[emoji848][emoji848],basi Hapa tz ni salama zaidi . hujui tu huko Hali ni mbaya mbaya zaidi kuliko.
 
Pole kwa familia ya marehemu na marafiki pia. Apumzike mahali anapostahili. Gone too soon.
 
subiri zamu. yako sii hutaki nyungu

Ni sahihi kabisa kusema hivyo hasa hasa kama haupo kwenye yale makundi yaliyomo kwenye 18 za huyu kirusi.

Mkuki kwa nguruwe uliwahi lini kuwa mtamu kwa binadamu?

Serikali na nchi hazina dini wala kuwa na imani za kishirikina.

Mbele ya katiba tuko sawa. Kodi tunazolipa tunataka kuziona zikitambua ukweli huu.

Mbona wengine tunakuwa condemned to death tukiwa hai?

Acheni kutucheza shere wakuu.

Tusilazinishane wengine tusivyo amini.

Kwa nini ni ngumu hii ngoma kukabidhiwa wataalamu wa afya?
 
sijui unaisemea ulaya ipi mkuu ambako eti hawafi ovyo[emoji848][emoji848],basi Hapa tz ni salama zaidi . hujui tu huko Hali ni mbaya mbaya zaidi kuliko.

Wewe unajua je kuwa huku hatufi kuliko ulaya? Takwimu unazolinganisha nazo ziko wapi?

Au hawa unaosikia ni wa ajali za alfajiri, changamoto za kupumua, kujisikia vibaya, pneumonia nk unaamini kuwa si corona?

Waamini matapeli hawa, na kwa hakika utaamini kila kitu!
 
Kwa Jf alifariki zamani sana. Toka Dec 16 2013. Ila labda alikuwa na ID nyingine. Pia mleta mada tuambie una uhusiano naye gani huyu member?

 
sijui unaisemea ulaya ipi mkuu ambako eti hawafi ovyo[emoji848][emoji848],basi Hapa tz ni salama zaidi . hujui tu huko Hali ni mbaya mbaya zaidi kuliko.
Ulaya hali inaimprove sana sasa.
Kila siku idadi ya maambukizi inashuka kwa kiwango kikubwa.

Anyway tuangalie sisi tunapambanaje.
 
Kwa Jf alifariki zamani sana. Toka Dec 16 2013. Ila labda alikuwa na ID nyingine. Pia mleta mada tuambie una uhusiano naye gani huyu member? Je na wewe umepima au ulikuwa unatumia kinga?
Oya braza, iyo kinga inakujaje tena hapo?
 
Mungu Amuweke Mahala Pema Peponi Amina.
 
Lawama zote kwa John MtembeI.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…