TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

Pole sana kwa husband wake, watoto, mama yake. Jamani kufiwa kunauma uwiiii nakumbuka kifo cha mzee wangu.
 
Pole sana
pole sana kwa mume wake, yni simpatii picha alivyoumizwa, na watoto wake wamebaki bila mama, yani hapo baba inabidi akae na mwanae , amtafutie mama mdogo, means aoe mapema ili apate faraja.

hili jambo tunasikia tu kwa wenzetu ila aiee ukimuwazia huyo baba aliyeachwa, inasemekana na mume wake yupo TBC, aisee atakuwa na majeraha sana moyoni.
 
Masaibu gani yamemkuta charity, bint mbichi kabisaaa, sijui kama alikuwa ameacha hata kumbukumbu ya mtt.
inasemekana amezaa na mtu, sijui ameolewa maana uki- google utaona harusi yake kwenye SHEREHE ZETU, DSTV
 
Wengine wanaweza kusema Mungu alisikia kilio chako
 
Wengine wanaweza kusema Mungu alisikia kilio chako
kabisa, unajua duni ina walimwengu na malimwengu.

Tuiombe familia yake.
Tuombee wanaopata ajali na walio mahospitalini.
Kuna watu wanateseka jamani nyie msiongee tu.
 
Ubarikiwe
 
Masaibu gani yamemkuta charity, bint mbichi kabisaaa, sijui kama alikuwa ameacha hata kumbukumbu ya mtt.
ndio hao wenzakw watujuze watu hapa na ikiwezekana waweke namba tumchangie huyo aliyeachwa, TBC wafanye changizo kwa yatima aliyeachwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…