TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Mkuu kuna unaweza kumpatia mtu vyote kutokana na shida alizo nazo Ila Kama yeye binafsi haijaikubali Hali yake no useless

Marehemu hakuwa ikubali Hali yake kwa mujibu wa maelezo yake

Aliona Kama amedhulumiwa uzima

Alitamani awe Kama zamani kitu ambacho pengine isingetokea

Pia ukichagiza na Hali ngumu ya maisha yake ya kwao

Ndio iliyopelekea kuchukua uamuzi huo mgumu.

Nafikiria alikuwa tatizo kubwa la kisaikolilojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods wako active na uzi wa "kula tunda kimasihara " wanachomoa comments zilizo very erotic au zile zenye identity exposing


Lakini anafanyiwa cyber bullying kwa comment za ajabu ajabu wao wanakunywa kahawa tu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea kwa hisia, hongera Sana umeandika vizuri!!
Nilikuwa nasoma comment wapo watu walikuwa wanamkejeli na wengne kumtaka afanye maamuzi haraka!!
All in all Mungu awasamehee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mods wako active na uzi wa "kula tunda kimasihara " wanachomoa comments zilizo very erotic au zile zenye identity exposing


Lakini anafanyiwa cyber bullying kwa comment za ajabu ajabu wao wanakunywa kahawa tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine single mama yupo mtaani huko ramani hazisomi mume kamkimbia hajui mtoto atamlisha nini anaingia humu ku refresh anakutana na nyuzi za kumkashifu na kumkebehi. JF inaelekea kua mtandao wa ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rest in peace soldier,na yoyote anayetaka kugive up a give up anayetaka kwenda mbele let's move forward
 
It really hurts 4 sure,,,lakini nina imani Kila mmoja amejifunza kitu kutoka kwa Kaka yetu huyu alietangulia mbele za haki

May your soul rest in peace bro

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Kujiua ni kufa kizembe sana,mm siwezi kujiua,bila changamoto hakuna maisha,
Kuna wakati mtu anakuwa kwenye wakati mgumu sana mpaka anakosa majibu anaangukia kujiua,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…