Nimeumia Sana Sana Sana,,,ilah tatizo liko hapa
Jf inachukuliwa tofauti na Kila member
Kuna wengine wanaona Ni sehemu ya burudani
Wengine wanaona Ni sehemu ya kupotezea muda
Yaani hawaichukulii seriously Kama sehemu unaweza pata msaada wa muhimu,,,
Kwaiyo anapokuja mtu ana tatizo seriously,,watu wanashindwa kuamini, wanaona Ni masiala,,end of the day watu wanaanza kutoa michango kulingana na jinsi wanavyoichukulia JF,,,nimefuatilia nyuzi kadha za marehemu,,nimeumia mno ,,natamani ningeiona hata nyuzi moja kabla marehemu hajachukua uamuzi huo mgumu,,
Anyway,it's too late,,
Nadhani ifike wakati tubadilike kulingana na nyuzi,,ukiona nyuzi ina usiriasi na wewe jaribu kuwa siriasi,,Kama huwezi kua siriasi nenda kwenye nyuzi za masihara,,,
Haya Sasa mwenzetu tayari hayupo Tena, na wengi walimshauri Aina za sumu humu,,wengine wakawa wanauliza kabisa bado hujajiua TU mpaka saizi,,,
Kabisa mtu mziima,msomi ,mwenye familia,great thinker ,unamuuliza mtu"bado hujafa TU"
Mtu anaongea kabisa kuwa tayari ameshafanya several attempts za kujiua ,,,lakini mtu haamini anazidi kumshauri nonesenses
Haya wote mliomshauri Aina za sumu na mliomkumbusha ajiue fanyeni sherehe,mfurahie maana tayari ushauri wenu umefanya kazi
Asante mliotoa ushauri mzuri
Pumzika Kaka mpauko
Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power