TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Pole sana, ila huwa nasikia kuna vifaa vya kusaidia kusikia?
 
Mishipa inayopeleka mawasiano imekauka nimetumia takribani siku 270 kumeza vidonge ili mishipa irudi kwenye hali yake lakini wapi.

Vidonge bei ni 50,000 unapewa vidonge 90 unatakiwa umeze kimoja tu kila siku.
Vikiisha unarudi hospitali.

Nilirudi mara 3 pale CCBRT.
Mwisho daktari akaniambia hili tatizo labda lijaribiwe kupitia mashine za kusikia.

Nikaelekea meneo ya mtaa wa MINDU pale Upanga nikapimwa tena.
Matokeo yakasomwa kwamba hata zile mashine hazitoweza kunisaidia.

Ili nielewane na mtu vizuri natakiwa niangaliane nae usoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu walitumia matatizo yangu for their own advantages.
 
Pole sana, hebu check na hao pia
 

Attachments

  • IMG-20200214-WA0000.jpg
    80.7 KB · Views: 5
Sikuwahi Kuona Kabla Post Au Kumjuwa Huyu Mtu Dah!!
Nimeona Uzi Huu Kama Saa Tisa Na Dakika 10 Usiku

Nimebaki Kufatikia Uzi Zake Mpaka Muda Huu Kwakweli Inauma Inahudhunisha

Kuona Nikiasi Gani Binadamu Hatuna Hata Lepe La Utu

Unawezaje Kumzihaki Mtu Usie Mjuwa Wala Kumuona Anapo Elezea Shida Zake

Mtu Hadi Kujiweka Hadharani matatizo Yake Jmn Yamemsibu Mengi

Na Ieleweke Mtu Kutumia Smart Phone sio Kuwa Ndio Anamaisha Mazuri

Kuna Smart Phone zingine Jina tu Ukiiona Ilivyo Nibora Ya Motorola

Watu Wanateseka dah
Nimekosa Usingizi kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, nadhani kama jamii na taifa sasa inatupasa kuona namna ya kuadress hili tatizo na kutafuta ufumbuzi kwa wote wanaohitaji kusaidika.
Tatizo ni kubwa kwenye jamii kuliko tunavolitathmini.
Mungu awape tumaini nyote mnaopitia changamoto ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's very unfortunate kijana, member mwenzetu kujitoa uhai.

For some reason, sijawahi kuona uzi wake hata siku moja hadi leo. Naumia kutomsoma mapema.

Pumzika kwa amani mkali.
 
Hapa kweli kuna majuto. Hizi comments wakati akihitaji msaada zinasikitisha. RIP!!!

View attachment 1369645
Aisee....nadhani Maxence Melo na wenzake wana lakujifunza katika hili, namna ya kuzilinda nyuzi za watu wanaohitaji msaada kama Robin na single mothers. Single mother wanatukanwa sana humu JF lkn hakuna hatua yeyote inachukuliwa na mods
 
Hiyo ni kwa baadhi tu.
But sometimes najisikia vibaya mtu akisema fulani HASIKII vizuri.
Yaani natamani hata kulia

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, matatizo tumeumbiwa binadamu, wewe unaweza kuwa na changamoto hiyo ukaona kama Mungu amekuacha lakini kuna mwingine ana changamoto kubwa zaidi cha muhimu ni kutokukata tamaa na kumtegemea Mungu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…