TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia

Dogo kuwa mkweli, ukisema ukiongea na hawa watu, mimi na wewe tuliwahi kuongea chochote? Tuliwahi kuwasiliana popote? Hizi screenshots unasema eti unazo, wapi umezitoa!?? Mimi nimeweka ushahidi wa mawasiliano yangu na Max je Uzi wako ulirudishwa baada ya wewe kuongea na Max au mimi? Kumbuka, Nina muda mrefu hapa na kama kuna MTU niliwahi kumtapeli hata senti ajitokeze hapa. Sijawahi kubadili hata ID since 2008, why nije nikutapeli wewe???? Binadamu ....
 
Mkuu acha kujishtukia, pia acha unafiki.

Sijamtaja huyo dada popote na wewe sijakutaja popote , sasa iweje unajishtukia?

Kaka kuwa na amani tu.
Ona unavyojichanganya sasa! Kwa namna hii ni ngumu sana kufanikiwa! Hivi mimi na wewe mnafiki ni nani??? Hata hivyo nashukuru kwa kuniita mnafiki, ni kawaida sikulaumu dogo.
 
Kijana, nikushauri tu, maisha hayako hivyo. Hilo tu
 
Nimemshangaa sana sana! Sometimes ndio MTU unaamua ukae kimya tu usimsaidie MTU. Alikua anamsumbua kwenye simu huyo Dada hadi basi, msaada ukageuka kuwa Deni. Kweli mambo ya kusaidiana tuachane nayo tu maisha yaendeleee
 
Tena ujinga wa mwisho ambao hata mm ndio unanigharimu maisha yangu kwa sasa
Naishi maisha kama digi digi kwa ajili ya upole ,busara ,huruma yangu
Ndio.mana wenye roho mbaya wanafanikiwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ukiwa msamaria mwema unaishia kuchafuliwa tu majina. Huyu dogo alikua anamsumbua sana kwenye simu....
 
Mkuu.

Pitia kwa umakini thread za watu wanaoomba msaada humu JF lazima utaona huyu dada ajitokeze .

Pia jiulize kwa nini kila biashara itakayojadiliwa humu JF yeye ameshawahi kuifanya?
Kijana, muogope Mungu wako!
 
Sasa kama ulikua unatukanwa na kudhalilishwa na watu, huo utapeli unakujaje? Acha kujichanganya dogo! Walikuchangia kisha wakakutukana??
 
Originality ya Iringa hapana aisee, watu wa Iringa ninyi mnatisha, hata kwenye mahusiano mnatutisha, nshawah kuwa na binti wa Iringa hapana aisee, sio kwa hasira hizo pindi ikitokea tafrani.

Kama umejinyonga, bhas Mungu akupe unachostahili mbele zake, kwa sababu mim sina uwezo wa kukuombea uende sehem salama.
 
Kweli kabisa, ukiwa msamaria mwema unaishia kuchafuliwa tu majina. Huyu dogo alikua anamsumbua sana kwenye simu....
Shida haipo kwa kijana.. ipo kwenu.
ukimsaidia mtu lazima useme humu?
Tenda wema nenda zako nyie mnaelewa vipi?
Wapo watu wanatoa misaada mikubwa. Huwezi kuta anakaa anasema kua nimemsaidia kitu fulani..Biblia inasema ukitoa sadaka mkono wa kushoto usijue! Nyie mwafanya hivo?
Sio kila mtu lazima ajue kua mnatoa misaada, Toeni yabaki ndani ya mioyo yenu!

Ukisoma huu uzi mwanzo mwisho unaona kila mtu anasema jinsi anavyosaidia/alivyosaidia..msaada hautangazwi. Kuna mtu namjua kamsaidia sana huyo Robin pesa mingi sana ila hata kuja kwenye huu uzi hajaja. Hua anasaidia wengi sana humu ila huwezi muona akiongea kitu kwasababu anajua Definition and how ya kutoa Sadaka/msaada
 
Hahahahaa Rafiki umechanganya mada, hebu anzia juu kidogo kuna story nyingine ya tofauti. Rudia juu kidogo, ukikomenti kwa kutokujua flow nzima utakosea. Ni kitu tofauti
 
Kama jamii tumefeli big time

Afya ya akili ni jambo muhimu lisilopewa umuhimu unaostahili na sisi wote

Naunga mkono hoja yako mkuu

Sikuwahi kujua hii issue, kusoma thread ya msiba nikasoma.na za nyuma nimeumia sana sana kwamba pamoja na warnings zote na misaada ya hali na mali hatukuweza kumsaidia kuepuka kifo kwa njia hii

MHSRP
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerumiwa pm comments zake..na hii ni 2nd tym..kuna kipindi nilipigwa ban ...kuna mchizi akaniambia naja naja anasema umekula hela zake...sikuuona huo uzi...! Haya yaishe!
Nimepitia comments zote nikarudi hapa.
Kwanza pole sana.
Pili dogo anasema hajakutaja wewe kwenye utapeli. Ila tuachane nayo.

Unajua dear wewe ambacho pengine kinaweza kikawa ni adui yako na haujakigundua ni 'kuongea too much", na ku promise vitu public sana. Jitahidi kupunguza. Ongea kidogo tena sana wala hautaona haya maneno yanakufuata.

Unajua tatizo la mtu anayeongea au kama sio kuandika sana? Huwa hapati muda wa kutafakari anachotaka kuandika na kujua baadae kitakuwa na madhara gani kwa mtu. Unakumbuka ile issue ya yule dogo?, unamwona tena jf?. Ni matokeo yako ya kuandika sana ukiona unamsaidia mtu kumbe unamchafulia sifa yake. Tuachane nayo.

Yawezekana huyu dogo ulimpromise sana, ukampa matumaini ya juu. (Niliona ule uzi ulikuwa unapromise haswa na kusema umewasaidia wengi, hata kwenye huu Uzi nimeona unasema yaani unasaidiaga hadi hubby ako anakumind). Sasa kwa maneno kama yale pengine dogo aliweka matumaini makubwa kwako, na watu waliokuwa kwenye zile nyuzi wengi tuliamini hautamwacha dogo hivi hivi. Sasa kama alikuwa na matumaini yote hayo na mwisho wa siku hakuambulia hata 10,000 unafikiria nini? Lazima ajione unajimwambafy public tuu.

Kuepuka maneno, epuka kuandika sana bila kujua madhara ya unachokiandika baadae. Epuka pia kutoa promise hadharani kwamba utamsaidia mtu kabla haujamsaidia. Hauwezi kujua ni wangapi waliacha kusaidia wakijua "pedeshee" Manengelo atasaidia.

Huu ni ushauri wangu wala hauna chuki yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi hasira mjue ..kwa nn wa kusaidiwa wengi ni mitihani hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitaalam ktk makundi manne ya watu wanaitwa sanguine
 
Soma tena vizuri
Akheri wamejua kumbe waliishi kizani
Soma tena tu uelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…