TANZIA Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia



Ofcourse mm sikia naamini km kweli dogo kafa...nikajikuta nasoma txt zake ..nadhan ni moja ya kuomboleza...maana amafanya tukio diku kadhaa kbs kuwasiliana na watu humu...! Sijawah ht andika sehem mpaukp nimempa hata ten..tena kwenye uzi wa kuchangiwq ile form mm sijawah ht comment maana nilishamalizana nae...! Iweje leo iwe hv eti oh tunajitangaza? Marehem mwenyew kumbe alikua annitaja huko..huyu alubati mm hata sijawah wasiliana naye ht siku moja..lakini ameeema yy mwenyew imekuwa kesi...mwe ngoja tukinge maji ya mvua sie!
 
Reactions: amu
R.I.P. Ila maisha lazima upambane, hakuna lelemama.
 
Achana nao kila kitu wanataka kiwe uniform? Huu uzi umewashtua wengi na wote wa katoka mafichoni hakuna aliyekuwa anajua anasaidiwa na wengi humu jf.
Na hakuna aliyejitangaza hata wewe hujajitangaza hawa wana sumu zao wamekuja kuzitema hapa.
Narudia wasikurudishe nyuma unachoona ni sahihi kwako fanya fanya fanya.
Huwezi kuwaridhisha binadamu wote.

Fanya kile kinachokupa moyo wako amani ya moyo fanya mama.

Sumu walizonazo zizidi kuwakaanga.
Na kama kuna muhitaji mwingine humu hali yake mbaya unanijua changsha, piga harambee wala wasikurudishe nyuma.


Mimi naona walikuwa mafichoni siku nyingi sasa wakapata cha kusema wanajikaanga tu hapa kwa kivuli cha dini ( ambao kihalisia ni tamaduni za watu wa kale na wenye busara zilizokusanywa)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma huu uzi na ule aliokuwa anaomba msaada nimeogopa

Afya ya akili ni kitu Cha msingi Sana Lakini tunapuuzia na mtu akileta tatizo humu no kejeli na dhihaka badala ya faraja
Mungu atusaidie tu
 
Na wengine kibaoooo walioandika humu jinsi walivyokuwa wanawasiliana na kumsaidia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa basi kwenye msaada humu msiweke Mungu Mungu kila mtu na imani yake kama mnataka msaada ya dini pelekeni jukwaa la dini.
Msiwabague wasiokuwa na Dini.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nikuache tu.
Maana Najijua tu.
Mchana mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa muacheni na system yake ni mkubwa zaidi yako, kapitia mengi.
Anajua anachofanya na yeye ana hulka yake.
Hivo hivo anavyojitangaza ndo wahitaji wanapata msaada.
Kama tatizo mnaona anajionyesha anajidai a nakosa baraka ni nyie sie yeye,na nyie saidieni kimya kimya pia naye hayo kuwa na tatizo na nyie.

Tatizo ni kutaka kumpangia au kufanya awe kama wengine wanaokusaidia wewe.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungwana hebu tumlaani shetani kisha tuachane na haya malumbano, maadam wahusika wamekubali yaishe, tumekumbushana kwa kadri ya maono yetu basi kifuatacho ni kuendeleza gurudumu la maisha, tukumbuke dunia inazunguka leo kwangu kesho kwa yule ndio maana tumeumbiwa tusaidiane mengine ni kasoro ndogo ndogo za kibinaadam,

Haya kila mtu awe na amani na tuzidi kumuombea ndugu yetu awe na mapumziko mema ya milele.
 
Dah aliandika Uzi mfupi sana wakati anaelekea kufanya hili jambo.bahati mbaya sikuwahi kuona threads zingine kuhusu matatizo yake.
Sadly niliandika masihara kwenye suala ambalo kumbe alikuwa anamaanisha(ingawa halikuwa lenye kukatisha tamaa wala kuelekeza kujiua) ila halikuwa la kumsaidia pia.
Now naelewa hali aliyokuwa nayo kwani naona kabisa kuna hali ya kukosa furaha inanifata,kitu kama Persistent depression hivi...Najaribu na naamini haitakuja kutokea nikajidhuru kwa sababu yoyote ile(God Forbid).
Kama maisha,mahusiano etc ni mazuri basi ni mazuri na kama ni mabaya ntajaribu kuyafanya yawe mazuri na ikishindikana kabisa basi imepangwa iwe hivyo tu,tuishi nayo.
 
Naona unawapangia watu namna ya kuishi. Kwahiyo ulitaka wasiseme jinsi walivyo saidia, Hata bilgate tunajua anatoa kiasi gani kwa ajiri ya msaada kwenye Foundation yake.Punguza kuwa Troll
 
wengine tuna matatizo makubwa kuliko yake lakini mbona hatujiuwi na wala hatuna mawazo ya kujiuwa/kujinyonga bali tunapambana na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu bado na tutaendelea ku- survive adi pale itakapo mpendeza mwenyezi Mungu!
 
Ameshasema amekuelewa essay za nini tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu nitajie mtu hata mmoja aliyewahi kusaidiwa na Manengelo.
 
Huyo Elli hana shida, ila kuambatana na Manengelo ndo kuna mchafua , hanaga maneno mengi huyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…